Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

Kama watu hawakubali wanawake waende na vitu wakati wa kuolewa, sasa hao wanaofanya kazi hizo pesa wazifanyie nini??

Au wakimaliza shuke wasifanye kazi hadi watakapoolewa??

It does not make sense to me.
 
Hapa ndipo wengi tunapokosea..yaani tunachukulia ukweni kama kitu cha ajabu sana..
Ndoa sio sehemu ya kuoneshana umwamba na nani anazo...
Mamamkwe anaweza kukupa MTAJI na ukafanya maisha pia..na pia babamkwe anaweza kukupa kampani kama mwanae..
Binafsi bado naamini uwepo wa 'equity and equality' kwenye ndoa aiseee..
aya kaka..kua uyaone
 
Helo my dears
kwanza nianze na story hii
juzi nilienda kwenye kitchen party ya rafiki .wakati wa zawadi mamayake kumbe alienda china kafungasha contena lina kila kitu cha ndani kilazagazaga
vitanda,magodoro ,sofa ,majiko ,friji ,radio ,matv, taulo …yaaanikila kitu ambacho kinatakiwa kiwe ndani ya nyumba ya mtu hadi kijiko
kijana aliemuoa huyo dada ni mtu wa kawaida tu kwa kweli ,hata kujenga bado
sasa najiuliza hili limekaaje wadau
hivi ni sawa kwa mwanamke ukiolewa kwenda na kila kitu kwamume… au ni vizuri kwenda na begi lako la nguo tu?
Katika maisha hakuna formula fanya kile ambacho kwenye nafsi yako ni sawa, maana kama katika huo mfano hivyo vitu sio vyake in such ila ni kama zawadi kutoka kwa wazazi hivyo kama mzazi ameweza kununua hivyo sidhani kama yeye anashida ndogondogo....kwahiyo hana haja ya kuviacha nyumbani nani atatumia. Kama unaolewa na bwana ana maisha yake ni busara kuwaachia vitu nyumbani kama hawana uwezo kihivyo .
 
Kama watu hawakubali wanawake waende na vitu wakati wa kuolewa, sasa hao wanaofanya kazi hizo pesa wazifanyie nini??

Au wakimaliza shuke wasifanye kazi hadi watakapoolewa??

It does not make sense to me.
hata kama nina vitu nitampa na yeye room ya kutumia vitu vyake? kwani yeye hana..kwa nini vyake vitupwe mimi vyangu ndo viwekwe ndani...iyo hela ingefanyia vitu vingine sio kuja kututa vitu vya kijana wa watu nje na kuweka vya binti yako
 
basi wanawake nao waanze kuoa kama ita make sense!!
Kiongozi uko karne gani? Mbona tayari wameshaanza kuoana?

white-party11.jpg
 
mmmmh the picture above ndugu Asprin lol hii sodoma na gomora hii, ee mola epushia mbali lol
 
Kwa tafsiri ya Maandiko ni kuwa "mwanamume ataachana na wazazi wake aambatane na mkewe (ili apate mazagazaga yote)..."
 
hata wanawake wananyanyasika, wanaume wangapi wanawaambia wake zao "rudi kwenu kila kitu umekikuta hapa"
au unapomwambia mkeo "we si ulikuja na mabegi yako tu"
wanawake wangapi wanaitwa "magolikipa" kisa hawafanyi kazi ngawa wanawatunzia nyumba zenu?
ndo maana nakwambia manyanyaso hayana jinsia, manyanyaso ni tabia ya mtu husika bila kujali jinsia.... hapo ndipo swala la kumchunguza na kumjua vyema mpenzi wako kabla ya ndoa linapokuwa na umuhimu......

na raha ya mwanaume ni kujiamini, sio mwanaume mkeo akinunua kijiko tu presha juu...aiiiiiiiiiiii hainogi... na hakuna kazi ngumu kama kuishi na mwanaume asiyejiamini...

Sio kwamba tunawawazia mabaya wenzetu, ukweli ni kwamba "experience is the best teacher"
Tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia jinsi baadhi ya wanaume wanavyonyanyasika ndani ya ndoa zao, kisa mke kafungashiwa kontena la vitu kutoka kwao.
 
sijui imekuwaje i see!bora umekuja mkuu!

Ni bora wazazi kuwasaidia watoto pesa tu
lakini vitu vingine wafanye wenyewe
Mzazi unamnunulia mpaka mtoto kiwanja
Mzazi ukifa mtoto wala hajui ofisi za ardhi zilipo
wala hajui kuna kodi za viwanja kumbee

Kufanya wenyewe kunawafanya wa discover themselves pia
vitu kama tastes na ulazima au umuhimu wa kununua hiki au kile

Na msisahau tunaishi kwa connections...sasa mtoto lazima atengeneze connections zake pia
sio kila kitu arudi kwa baba au mama...apewe ki memo...
Mnasomeshas watotto Ulaya
Barua za kuomba kazi mnawaandikia
Interview pia mnawapa vimemo
Kazi kama ina tatizo mtoto anarudi ku ripoti kwa wazazi na sio kupigana huko huko oficin
Viwanja muwanunulie
Magari muwapatie

Halafu mnashangaa kwa nini wanakunywa sumu sababu ya boyfriend'girlfriend????
 
nikiongeza hapa nahisi ntaharibu!
 
Hahahaaaaaaaa The Boss umeua....umemaliza kila kitu!
 
Last edited by a moderator:
Kwani hakuna wanawake wanaoa??

Tena wewe unatakiwa ujue zaidi, nyumba ntobo je??

Sioni kwa nini mwanamke ajifiche fiche na mali zake wakati wa kuolewa eti kisa bwana.

Kama ni mwanamme mtafutaji haitamuumiza, ila hawa masharo lazima ajishtukie tu
Maana dhamira itakuwa inamsuta.

Msiwatie makashkash, wanawake wale pesa zao wasi-invest eti kisa kuhofia kuolewa na kwenda na kila kitu.

Hivi kama mie mtoto wa Baresa nikapange Tandale kisa Ego ya mme?? NO way, kama hataki cha kwetu basi aoe ambaye hana.
basi wanawake nao waanze kuoa kama ita make sense!!
 
Ha ha haa be free...[/QUOTE

umegonga kwenye mfupa mkuu!kimsingi huwezi kumpa mtoto vitu vyote hivyo ukiamini unamsaidia no!,unakumbuka kuna ndoa ya watoto wa vigogo fulani hivi kanda ya ziwa ilifungwa kwa mbwembwe na zawadi zote za aina hyo ililast baada ya muda gani?
 
Back
Top Bottom