Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
mi nitakuja hadi na boxer zako
ha ha haaa, nani kwakuambia mimi navaa hiyo chapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nitakuja hadi na boxer zako
Ha ha haa be free...[/QUOTE
umegonga kwenye mfupa mkuu!kimsingi huwezi kumpa mtoto vitu vyote hivyo ukiamini unamsaidia no!,unakumbuka kuna ndoa ya watoto wa vigogo fulani hivi kanda ya ziwa ilifungwa kwa mbwembwe na zawadi zote za aina hyo ililast baada ya muda gani?
Tazama watoto wa Ghadafi...
Wale aliowadekeza mmoja akafa nae,mwingine mahakamani
lakini kuna wengine hawakutaka kabisa kujihusisha na siasa za baba yao
Wanadunda mpaka leo kwa amani....they choose to live their lives
Hawakutaka baba aseme wewe ntakupa uwaziri au hiki......
Lakini wale Daddy's boys ndo hivyo mmoja kauawa na baba yake,mwingine rumande anasubiri hukumu...
Unajiuliza does it worth it?
Wangetumia nafadi ya baba yao kujitafutia chao cha halali na furaha..wangekuwa tofauti now..

acha tu kaka dunia ina mambo hii ...ila nakuaminia kaka yangu ...ndo maana ukasema kuna wavulana na wanaume ..leo nimekuelewa kwa karibuTazama watoto wa Ghadafi...
Wale aliowadekeza mmoja akafa nae,mwingine mahakamani
lakini kuna wengine hawakutaka kabisa kujihusisha na siasa za baba yao
Wanadunda mpaka leo kwa amani....they choose to live their lives
Hawakutaka baba aseme wewe ntakupa uwaziri au hiki......
Lakini wale Daddy's boys ndo hivyo mmoja kauawa na baba yake,mwingine rumande anasubiri hukumu...
Unajiuliza does it worth it?
Wangetumia nafadi ya baba yao kujitafutia chao cha halali na furaha..wangekuwa tofauti now..
hii umenikumbusha story, mtu alirudi kwao na fuso 2Hakuna tatizo nikukipiga talaka si unaleta Fuso unaondoka navyo na kurudi kwa mama yako
Not always mzazi atakupa kilicho haramu
Hakuna wazazi wenye pesa halali za kuwapa watoto wao??
Reginald Mengi je?? Asimpe mtoto wake wa kike nyumba kisa mmewe atajisikia vibaya??
Kikubwa ni kuwafunza watoto kuamini katika kazi.
Thread ime evolve
Hapa tunazungumzia zaidi role ya kumfanyia kila kitu
ndo maana nikasema unaweza kumpa pesa afanye mwenyewe
mfano kama ni furniture basi mpe pesa atafuute wee mwenyewe kuliko umnunulie
tena zenye taste ya kwako umleteee
get it?
acha tu kaka dunia ina mambo hii ...ila nakuaminia kaka yangu ...ndo maana ukasema kuna wavulana na wanaume ..leo nimekuelewa kwa karibu
yah ther is a very big difference btw a boy and a man,a very big one!
Nyumba ntobhu ni habari ingine na ni isolated cases, wewe wala haifananii na huu mjadala, kama unaitaka tafuta muda nikufahamishe. Niambie hapa njini kama umeshuhudia mwanamke akiwowa mwanaume.Akamtolea mahari na kufanya mambo yote afanyayo mtu katika taratibu za kuoa.Kwani hakuna wanawake wanaoa??
Tena wewe unatakiwa ujue zaidi, nyumba ntobo je??
Sioni kwa nini mwanamke ajifiche fiche na mali zake wakati wa kuolewa eti kisa bwana.
Kama ni mwanamme mtafutaji haitamuumiza, ila hawa masharo lazima ajishtukie tu
Maana dhamira itakuwa inamsuta.
Msiwatie makashkash, wanawake wale pesa zao wasi-invest eti kisa kuhofia kuolewa na kwenda na kila kitu.
Hivi kama mie mtoto wa Baresa nikapange Tandale kisa Ego ya mme?? NO way, kama hataki cha kwetu basi aoe ambaye hana
hii umenikumbusha story, mtu alirudi kwao na fuso 2
Nyumba ntobhu ni habari ingine na ni isolated cases, wewe wala haifananii na huu mjadala, kama unaitaka tafuta muda nikufahamishe. Niambie hapa njini kama umeshuhudia mwanamke akiwowa mwanaume.Akamtolea mahari na kufanya mambo yote afanyayo mtu katika taratibu za kuoa.
Sijazungumzia hapa mwanaume kumzuia mwanamke kufanya kazi na kutumia pesa yake. Mimi mke wangu anafanya kazi lakini bado namhudumia kila kitu na sijali kama ana kazi. Pesa yake anafanyia mambo yake mwenyewe na i dont care how she spends the money.
Hoja yetu ni wazazi kumfungashia binti yao kontena la mazagazaga ya kwenda nayo kwa mumewe. Uzoefu umeonyesha kwamba mara nyingi mali za wazazi zimesababisha kuyumba ama kuvunjika kwa ndoa za watoto. Hata kitanda ununuliwe na wakweo? sasa una haraka gani ya kuoa hata kama kitanda huna?
Mambo yanabadilika sana sijuhi ndo kwenda na wakati au ugumu wa maisha...nakumbuka dada zangu walipoolewa hawakwenda hata na begi. Those days mdada akiolewa hata nguo zake za zamani alikuwa anagawa kwa wadogo zake...hivyo sisi madogo tulikuwa na kila sababu ya kufurahia dada kuolewa. Akifika huko mume anajaza kabati na nguo mpya.
Siku hizi mh! Sijuhi ndio uanaume suruali?, sijuhi wadada tuko desparate?, sijuhi ndio kujiandaa na kuachika,( maana kuna wenye mawazo kuwa ukiwa na kila kitu hata ukiachika una pa kuanzia)?. Kwa ufupi mi naona mwanume anaweza kuji feel mnyonge kama wakwe wanatoa kila kitu...kama ni mwanaume mwenye sifa za Kiafrika lakini Lol. Maoni yangu lakini.
ukitoka hapa nyumba kubwa mwenzangu kuna mtu anauliza utamu wa waume zetu huko jamvini,hebu mzukie na umpe za uso!Mambo yanabadilika sana sijuhi ndo kwenda na wakati au ugumu wa maisha...nakumbuka dada zangu walipoolewa hawakwenda hata na begi. Those days mdada akiolewa hata nguo zake za zamani alikuwa anagawa kwa wadogo zake...hivyo sisi madogo tulikuwa na kila sababu ya kufurahia dada kuolewa. Akifika huko mume anajaza kabati na nguo mpya.
Siku hizi mh! Sijuhi ndio uanaume suruali?, sijuhi wadada tuko desparate?, sijuhi ndio kujiandaa na kuachika,( maana kuna wenye mawazo kuwa ukiwa na kila kitu hata ukiachika una pa kuanzia)?. Kwa ufupi mi naona mwanume anaweza kuji feel mnyonge kama wakwe wanatoa kila kitu...kama ni mwanaume mwenye sifa za Kiafrika lakini Lol. Maoni yangu lakini.
Mambo yanabadilika sana sijuhi ndo kwenda na wakati au ugumu wa maisha...nakumbuka dada zangu walipoolewa hawakwenda hata na begi. Those days mdada akiolewa hata nguo zake za zamani alikuwa anagawa kwa wadogo zake...hivyo sisi madogo tulikuwa na kila sababu ya kufurahia dada kuolewa. Akifika huko mume anajaza kabati na nguo mpya.
Siku hizi mh! Sijuhi ndio uanaume suruali?, sijuhi wadada tuko desparate?, sijuhi ndio kujiandaa na kuachika,( maana kuna wenye mawazo kuwa ukiwa na kila kitu hata ukiachika una pa kuanzia)?. Kwa ufupi mi naona mwanume anaweza kuji feel mnyonge kama wakwe wanatoa kila kitu...kama ni mwanaume mwenye sifa za Kiafrika lakini Lol. Maoni yangu lakini.
mwaka jana tulimfanyia KP wifi yangu. mchumba hakuwa na hela sana, huku kwetu kulikuwa na uafadhali. tukiwa tunajadili cha kumpa binti kwa kp na sendoff nikashauri wakwe kuwa huu sio wakati wa kujionyesha, hebu tumpe binti muda wa kwenda kukaa na mwenzie wajue wanataka nini.hata kama nina vitu nitampa na yeye room ya kutumia vitu vyake? kwani yeye hana..kwa nini vyake vitupwe mimi vyangu ndo viwekwe ndani...iyo hela ingefanyia vitu vingine sio kuja kututa vitu vya kijana wa watu nje na kuweka vya binti yako
ukitoka hapa nyumba kubwa mwenzangu kuna mtu anauliza utamu wa waume zetu huko jamvini,hebu mzukie na umpe za uso!
Kwa hiyo, ikitokea mwanamke anaolewa na ana basic needs za kuwasaidia??
Mfano nyumba, gari, biashara avifanyeje???
Na labda awe anaolewa na mtu ambaye bado kapanga na gari hana??
Aina hii ya ndoa haipo???
Nibwelili kamwali...kamwali ubwelili?penyee hapa wasikana ngati wapatili wangana wa wakuwababili wanataka tiwaajazii lifuso ngo!yenyew haya mambo kweli haya mlongo wangu?
Huyo ni binti au sugar mummy?
Hilo ndo tatizo la kuolewa aged. Hata ndoa za hivyo hazidumu...sitaki kutaja majina ntapewa za uso.
Raha ya ndoa either muanza hamna kitu (muanze pamoja) au mume awe nazo. Mwanamke ata kikimchanganyia iwe ndani ya ndoa si kabla.