Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Miongoni mwa majeshi ninayo ya heshima ni JWTZ lakini mbona baadhi ya askari wenu wanadhalilisha jeshi? wanazinguwa bar na sare za kazi ama unamwona mtu kalewa chakari ndani ya sare.Askari kama huyu huko kambini hachunguzwi na kudhibitiwa ili kuleta nidhamu kwa jeshi?