Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
HAHAHAHH! 😆😆Huyo uliyemuona amelewa alikuwa hajalewa.Hiyo ilikuwa ni mbinu ya kiulinzi alikuwa anaifanya.huenda wewe alikushuku kama ni mharifu au anataka kufanya kitendo kisicho kizuri.ili akukamata ndiyo kajifanya kulewa ili wewe ujue kweli amelewa kumbe hajalewa.Hilo Huwa ni somo kabisa jeshini linaitwa the drunken bowl master in unpredictable condition.