klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Hivi ni lini wanawake mtaacha kujifanya weak and Innocent? hapa zigo la ukatili lote mimi nambebesha huyu mama, Baba anabeba zigo la uzembe na ubwege.Na mimi siku yangu ishaharibiwa na hii thread ya kusikitisha.
Wababa wajitahidi kupata muda wa kuzungumza na watoto wenu muone kama mambo yapo sawa.
Wapendwa
Ni matumaini yangu mlikuwa na weekend yenye Baraka.
Mimi wiki hii MwanajamiiOne nimeianza kwa uchungu huku machozi yakinitiririka barabarani asubuhi wakati nakuja kibaruani. Kwenye taarifa ya habari iliyotangazwa kupitia Radio One. Mama mmoja huko Morogoro aliyekamatwa kwa kosa la kumpiga vibaya Mtoto wa Mume wake (Mtoto wa kambo). Taarifa hiyo ambayo ilisema mtoto huyo mwenye umri wa miaka 3 inasemekana amepigwa hadi kuvunjwa mkono na mguu huku akiachiwa majeraha sehemu za kichwa baada ya kupigwa mateke, kuangushwa chini huku akijipigiza sakafuni na kung'atwa kwa meno mwilini.
Taarifa ilisema mtoto huyo (kwa mujibu wa majirani) amekuwa akichezea matezo hayo karibia kila siku pamoja na kufanyishwa kazi ngumu (Mtoto wa miaka 3??!!). Aliambulia kupigwa (tena kwa kuchangiwa na mama huyo na mwanae) pale anapotumwa kitu mfano mwiko akakosea (Mtoto wa Miaka 3!!).
Sitaki kusema mengi lakini kwa kifupi, kina Baba ambao mna watoto wenu ambao hamuishi na mama zao, NINAWAOMBA muwe japo na kajitabia ka kusoma alama za nyakati. Ni kweli kuwa si mama wote wa kambo ni wabaya lakini you never know just take time kuchungua mazingira.
Ningetamani kweli kujua namna ya kufanya hili liwe kweli lakini sijui, yaani nashuindwa kuwaza kabisa.
KUWENI tu MAKINI.
MBARIKIWE SANA KINA BABA NA MAMA WAZAZI/WALEZI WENYE MIOYO YA UPENDO KWA WATOTO WAO HATA KAMA HAWAJAWAZAA WAO.
Mzee..............ninantamani majirani wote nao watiwe kashkash kwa kufumbia macho suala hili kwa siku zote hizo (Ingawa wao ndio waliomfikisha polisi baadae) Lakini kwa mujibu wa shosti wake huiyu mwanamke ni kuwa walikuwa wanamkanya kila siku (Hivi kweli wewe mama mwenye uchungu, unaona mtoto anapigwa mara ya kwanza unavumilia, ya pili unavumilia tena? - angekuwa anachapwa kwa fimbo ningeelewa kuwa pengine anamfundisha -kama alivyokuwa anajibu, lakini ngumi, mateke, meno oh my God.3yrs old anapigwa na watu wawili. Majirani wanajua, wanashndwa kuchukua hatua!!!. Kina mama punguzeni roho mbaya kwani huyo naye ni mtoto sawa na wako.
Inauma DA haswa kama umeshawahi kuonja uchungu wa kujifungua! Wamama wahakikishe wanaishi na watoto wao wenyewe hata kama hukai na babake.Mtoto wa miaka mitatu?????????????
Siku yangu yooote imeharibika kabisa na wala sitaki kuamini.............
Miaka mitatu (3)?????????? Kweli kuna wanawake wanyama Duniani kwanza unampiga mtoto kwanini???
Kha wajameni ai hata nashindwa kuendelea kuandika na imagine alivyo
Hivi ni lini wanawake mtaacha kujifanya weak and Innocent? hapa zigo la ukatili lote mimi nambebesha huyu mama, Baba anabeba zigo la uzembe na ubwege.
Well said shemeji! Lakini bongo ni kibongobongo tu, tatizo hakuna utawala wa sheria, kwa wenzetu mtoto akionekana anasinzia shule tu basi mzazi unatakiwa ukajieleze kwanini mtoto haumlazi masaa ya kutosha?............Shemeji nadhani inatupasa kuweka sheria kali kwa wote, wewe mama unayemnyanyasa mtoto, wewe babab (usiyejua kuwa mwanao ananyanyashwa (ni uzembe) na ikiwezekana hata majirani wanaowazunguka ikijulikana kuwa walifahamu juu ya manyanyaso hayo.
Jamiii yote tunahusika haya mambo ya usiingilie familia yangu (kama ile thread ya Nazdas ya kibao cha UKIJA UJE NA YAKO, YA HUMU UTUACHIE sijui tuyaache. Tuingiliane tu hata hayo ya ndani kama yanahusiana na unyanyasaji na ukatili wa mtoto. !
Kinachoanza siku zote ni uzembe na ubwege wa baba, afu ukatili unapata nafasi ya kuwepo. Nawachukia wanaume mabwege na wazembe! Kwanini baba ukose sauti kwa mkeo? Haya mazingira ya watoto kunyanyaswa na mama zao wa kambo wababa huwa wanayatengeneza wenyewe! Kuweni karibu na watoto wenu bana. Msiwaamini sana hao mama zao wa kambo. Sio kila mwanamke anampenda mtoto wa mwenzie!Hivi ni lini wanawake mtaacha kujifanya weak and Innocent? hapa zigo la ukatili lote mimi nambebesha huyu mama, Baba anabeba zigo la uzembe na ubwege.
Inauma! Najaribu kufikiria mtoto wa miaka mi3!!.. Yan sipati jibu kama huyo mama anayemtesa mtoto mdogo hivi akili zake zimetimia kweli...Married to the devil...
Mama crap na shetani....
Baba crap....
Matokeo: Mtoto kuonja ladha ya jehanam akiwa na miaka mi3...
Hapo red ndio wabeijing nakuwa siwaelewi! mkitaka kumtupia lawama mwanaume mnajifanya "kwanini mume unakosa sauti kwa mkeo?" Lakini mkiona mambo shwari mnajifanya haki sawa kwa wote. All in all, hatujaelezwa situation ya baba kiundani, anajishughulisha na nini? yupo 24/7 nyumbani? anafanya kazi local au mkoani? etc. Uskute baba wa watu kumbe anameza vidonge vya masaa anasumbuliwa na kifaduro au anafanya kazi za kusafiri etcKinachoanza siku zote ni uzembe na ubwege wa baba, afu ukatili unapata nafasi ya kuwepo. Nawachukia wanaume mabwege na wazembe! Kwanini baba ukose sauti kwa mkeo? Haya mazingira ya watoto kunyanyaswa na mama zao wa kambo wababa huwa wanayatengeneza wenyewe! Kuweni karibu na watoto wenu bana. Msiwaamini sana hao mama zao wa kambo. Sio kila mwanamke anampenda mtoto wa mwenzie!
Well said shemeji! Lakini bongo ni kibongobongo tu, tatizo hakuna utawala wa sheria, kwa wenzetu mtoto akionekana anasinzia shule tu basi mzazi unatakiwa ukajieleze kwanini mtoto haumlazi masaa ya kutosha?
Dah!yaani hii sredi imeniharibia mpaka apetaiti ya kutongoza leo.
Uskute huyo mama ni member wa JF na yeye anaitwa greti thinka na anaanzisha sredi za malezi bora. heheehhe hapo ndo utajua kwanini nanasi linaitwa painepolInauma! Najaribu kufikiria mtoto wa miaka mi3!!.. Yan sipati jibu kama huyo mama anayemtesa mtoto mdogo hivi akili zake zimetimia kweli...
Inauma! Najaribu kufikiria mtoto wa miaka mi3!!.. Yan sipati jibu kama huyo mama anayemtesa mtoto mdogo hivi akili zake zimetimia kweli...
Hivi ni lini wanawake mtaacha kujifanya weak and Innocent? hapa zigo la ukatili lote mimi nambebesha huyu mama, Baba anabeba zigo la uzembe na ubwege.
Well said shemeji! Lakini bongo ni kibongobongo tu, tatizo hakuna utawala wa sheria, kwa wenzetu mtoto akionekana anasinzia shule tu basi mzazi unatakiwa ukajieleze kwanini mtoto haumlazi masaa ya kutosha?
Dah!yaani hii sredi imeniharibia mpaka apetaiti ya kutongoza leo.
Hapo red ndio wabeijing nakuwa siwaelewi! mkitaka kumtupia lawama mwanaume mnajifanya "kwanini mume unakosa sauti kwa mkeo?" Lakini mkiona mambo shwari mnajifanya haki sawa kwa wote. All in all, hatujaelezwa situation ya baba kiundani, anajishughulisha na nini? yupo 24/7 nyumbani? anafanya kazi local au mkoani? etc. Uskute baba wa watu kumbe anameza vidonge vya masaa anasumbuliwa na kifaduro au anafanya kazi za kusafiri etc