Kwenu Kina Baba........................!

Kwenu Kina Baba........................!

Mbaya sana hii.
Najiuliza kuhusu authenticity ya hii habari, maana ni ngumu hata kumeza!...Inawezekana kweli kuna viumbe katili hivyo?
Mbona mtoto ni mtoto tu jamani?...
Nimeboreka sana, na siku yangu kuharibika!
Ilirushwa na ITV jana. Mkuu kuna habari zingine ukiwa unatazama unaweza kutamani kuzama ndani ya TV na kumshikisha muhusika adabu ASAP maana unaweza kuona kama sheria zinachelewesha mambo hivi.
 
Mwanangu ndio katimiza miaka mitatu mwaka huu, kwa umri huo kweli anaweza kufanya kazi, labda kama ni wa kike lakini wa kwangu sijaona kama anamudu kufanya kazi zaidi ya kubadilisha channel za TV tu.
Jambo hili sio kwa mama wa kambo tu, hata mama wazazi huwatesa sana watoto zao utadhani hawakutoka mkatika matumbo, mie kule Kibaha nimeshuhudi mtoto alipoteza shilingi mia moja! lakini alichomwa mikono yote miwili kwa moto baada ya kufungwa na nailoni na kumwagiwa mafuta ya taa, yule mtoto alipoteza vidole vyake vyote, ilikuwa ni kwenye miaka ya mwanzoni mwa 90. jambo lile mpaka leo linaisumbua akili yangu.

Mtambuzi kumbe wewe ni mate wangu?! Wangu amefikisha mitatu na nusu na bado namwona yaani baaado kabisa, kitu utakachomwagiza akakuletea bila kukosea ni Laptop na usiiite laptop, mwambia kalete Dora The Explorer au Madagarscar mtaelewana sasa mwiko? jamani. Mimi kusema ukweli nimeshindwa kabisa
 
Ilirushwa na ITV jana. Mkuu kuna habari zingine ukiwa unatazama unaweza kutamani kuzama ndani ya TV na kumshikisha muhusika adabu ASAP maana unaweza kuona kama sheria zinachelewesha mambo hivi.
Mjasiria mpenzi wangu we acha tu........kuna ile nyingine Kibabu cha almost 55 kimebaka mtoto wa miaka 9. Kinaulizwa kinadai ...kumfanya kweli nimemfanya, lakini sikumaliza..............maana watu walikuja kunikatisha!!......kweli? jamani tunakwenda wapi??
 
Babu na Mjomba IGWE nimewaelewa lakini lengo na madhumuni yangu kuwalenga nyie nina maana kuwa mwanamke mwenye roho ya kishetwani kama huyu hata nikimwambia nitakuwa ninampigia mbuzi gitaa na isitoshe threads nyingi za jambo hili zilikuwa zinawalenga wao so nimejiona kama vile sina jipya la kuwaeleza wanawake wenzangu niwageukie kina Baba.

Imagine huyu alikuwa anakanywa na majirani na mashosti zake kuwa utamwuua mtoto wa watu anawajibu kama mna uchungu naye mchukueni mkamlee ninyi!! (Mtoto wa miaka 3?!!) jamani. Kitendo hiki kusema ukweli kimenifanya kwa mara ya kwanza maishani mwangu nione aibu kuzaliwa mwanamke (Sijuti). ............ Hivi kweli nawezapita kifua mbele kuwa mie ni mwanamke ilihali kuna wanawake wenye roho za kikatili kuliko wanyama?

Wewe baba mwenye mtoto wako anayeishi na mama mwingine, huwa unachukua jukumu gani kuhakikisha kuwa anapata huduma, malezi na upendo kutoka kwa mama yake wa kambo? au unaamini tu kuwa analelewa vizuri kwa kuwa tu ukirudi unamkuta/ona mama huyo anamchekea au kujifanya anamkumbatia? ni mbinu gani mtu anawezatumia ili kulijua hili??

MwanajamiiOne, natamani watu wote duniani tungalikuwa na moyo wako: kwani hali iliyoko hivi sasa inatisha!!
 
Sasa baba anatok asubuhi anarudi saa tano sita mtoto wake kalala atajuaje kama anateswa?
mi nafikiria wababa wote wanaoishi na watoto wao waliowapata kwa wanawake wengine sio huyo
anayeishi naye, wawe na machale, akirudi anaenda kumsalimu mtoto na kumcheki ni aje
hii itasaidia kugundua mambo mengine, coz wnawake watesaji wanajua kupretend waume
zao wakiwa around, sio rahisi kugundua
 
BlackBerry darling hii ndiyo ilikuwa dhana nzima ya hii thread LAKINI wao (Wababa) wamekiri kuwa katika nyanja hii wako hpopeless...........hawawezi kujua na wanategemea report kutoka kwetu. So kwa wale wenye roho za kutu tunaendelea kupewa nafasi ya kuendelea na maovu yetu.

Katika wote waliorespond kwenye hii thread hakuna aliyetoa hata njia mojawapo ambayo anawezaitumia kuassess kama mwanae/wanae wanalelewa vizuri. Hii imenikatisha tamaa but imenipa idea ya nini cha kufanya akili ikishakaa vema na nikishadiscuss na mwandani wangu ambaye ni mwelewa sana wa mambo haya! Mojawapo ya mambo yanayonifanya nimpende na kumuheshimu ni kuwa tunaongea lugha moja when it comes to haya masuala.
 
inasikitisha sana. ila nanyi kina mama punguzeni roho mbaya. manake kila tukisikia visa kama hivi ni mama wa kambo, mbona akina baba wa kambo hawapo hivi? why wajameni.
 
Mjasiria mpenzi wangu we acha tu........kuna ile nyingine Kibabu cha almost 55 kimebaka mtoto wa miaka 9. Kinaulizwa kinadai ...kumfanya kweli nimemfanya, lakini sikumaliza..............maana watu walikuja kunikatisha!!......kweli? jamani tunakwenda wapi??
MJ1 hiyo bluu hiyo naomba Mbu aje aitazame vizuri lol.(Leo lazima ajimeze kwa wivu)

On a serious note hiyo nyekundu imetokea wapi na lini??!! Dah haya mambo sijui tunaelekea wapi? au labda watu wengine wanaumwa vichaa halafu sisi hatujui tu?
 
Back
Top Bottom