Ilirushwa na ITV jana. Mkuu kuna habari zingine ukiwa unatazama unaweza kutamani kuzama ndani ya TV na kumshikisha muhusika adabu ASAP maana unaweza kuona kama sheria zinachelewesha mambo hivi.Mbaya sana hii.
Najiuliza kuhusu authenticity ya hii habari, maana ni ngumu hata kumeza!...Inawezekana kweli kuna viumbe katili hivyo?
Mbona mtoto ni mtoto tu jamani?...
Nimeboreka sana, na siku yangu kuharibika!
Husninyo,mi naona wote tuwe macho tu,we have cases za baba kubaka watoto wao wa kufikia na mama anauchuna eti asiharibu ndoa yake.Na mimi siku yangu ishaharibiwa na hii thread ya kusikitisha.
Wababa wajitahidi kupata muda wa kuzungumza na watoto wenu muone kama mambo yapo sawa.
Mwanangu ndio katimiza miaka mitatu mwaka huu, kwa umri huo kweli anaweza kufanya kazi, labda kama ni wa kike lakini wa kwangu sijaona kama anamudu kufanya kazi zaidi ya kubadilisha channel za TV tu.
Jambo hili sio kwa mama wa kambo tu, hata mama wazazi huwatesa sana watoto zao utadhani hawakutoka mkatika matumbo, mie kule Kibaha nimeshuhudi mtoto alipoteza shilingi mia moja! lakini alichomwa mikono yote miwili kwa moto baada ya kufungwa na nailoni na kumwagiwa mafuta ya taa, yule mtoto alipoteza vidole vyake vyote, ilikuwa ni kwenye miaka ya mwanzoni mwa 90. jambo lile mpaka leo linaisumbua akili yangu.
Mjasiria mpenzi wangu we acha tu........kuna ile nyingine Kibabu cha almost 55 kimebaka mtoto wa miaka 9. Kinaulizwa kinadai ...kumfanya kweli nimemfanya, lakini sikumaliza..............maana watu walikuja kunikatisha!!......kweli? jamani tunakwenda wapi??Ilirushwa na ITV jana. Mkuu kuna habari zingine ukiwa unatazama unaweza kutamani kuzama ndani ya TV na kumshikisha muhusika adabu ASAP maana unaweza kuona kama sheria zinachelewesha mambo hivi.
Babu na Mjomba IGWE nimewaelewa lakini lengo na madhumuni yangu kuwalenga nyie nina maana kuwa mwanamke mwenye roho ya kishetwani kama huyu hata nikimwambia nitakuwa ninampigia mbuzi gitaa na isitoshe threads nyingi za jambo hili zilikuwa zinawalenga wao so nimejiona kama vile sina jipya la kuwaeleza wanawake wenzangu niwageukie kina Baba.
Imagine huyu alikuwa anakanywa na majirani na mashosti zake kuwa utamwuua mtoto wa watu anawajibu kama mna uchungu naye mchukueni mkamlee ninyi!! (Mtoto wa miaka 3?!!) jamani. Kitendo hiki kusema ukweli kimenifanya kwa mara ya kwanza maishani mwangu nione aibu kuzaliwa mwanamke (Sijuti). ............ Hivi kweli nawezapita kifua mbele kuwa mie ni mwanamke ilihali kuna wanawake wenye roho za kikatili kuliko wanyama?
Wewe baba mwenye mtoto wako anayeishi na mama mwingine, huwa unachukua jukumu gani kuhakikisha kuwa anapata huduma, malezi na upendo kutoka kwa mama yake wa kambo? au unaamini tu kuwa analelewa vizuri kwa kuwa tu ukirudi unamkuta/ona mama huyo anamchekea au kujifanya anamkumbatia? ni mbinu gani mtu anawezatumia ili kulijua hili??
Sasa baba anatok asubuhi anarudi saa tano sita mtoto wake kalala atajuaje kama anateswa?
mi nafikiria wababa wote wanaoishi na watoto wao waliowapata kwa wanawake wengine sio huyo
anayeishi naye, wawe na machale, akirudi anaenda kumsalimu mtoto na kumcheki ni aje
hii itasaidia kugundua mambo mengine, coz wnawake watesaji wanajua kupretend waume
zao wakiwa around, sio rahisi kugundua
MJ1 hiyo bluu hiyo naomba Mbu aje aitazame vizuri lol.(Leo lazima ajimeze kwa wivu)Mjasiria mpenzi wangu we acha tu........kuna ile nyingine Kibabu cha almost 55 kimebaka mtoto wa miaka 9. Kinaulizwa kinadai ...kumfanya kweli nimemfanya, lakini sikumaliza..............maana watu walikuja kunikatisha!!......kweli? jamani tunakwenda wapi??