Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu

Kaka Kaizer huu ushauri wako umekuja muda mbaya, kwa sasa Niko katika maombi makali, naomba Mola anipe mume wangu mwaka 2015.....sitaki kuwa mchepuko. Ameen

Ameen...
 
Last edited by a moderator:
Da Asia this coming from a married woman umenibariki sana.
 
Last edited by a moderator:
Dah...kweli shughuli ipo!!!!

Heri ya mwaka mpya kwako pia Kaizer .
 
Last edited by a moderator:
Namba 13 nitakushushia kipondo kama mbwa mwizi...namba 14 utasoma namba!!!

Samahani kaka au dada. Ashakum si matusi. Kiteitei kikwetu milimani ni kichupi/kachupi. Kitei kikwetu ni mtego wa fuko au wa wanyama wengine waharibifu. Kwa hiyo kiteitei kwa maana hii inaweza kuwa "kimtegomtego". Jina lako lina maana moja kati ya hizi?
 

Well..... Japo hujibu maswali yangu straight..... Nimekusoma kwa makini na nimekuelewa sana.

Wewe u mke bora na mwelewa. Ana heri yule aliyemuoa Da Asia. Yu ana heri sana.
 
Last edited by a moderator:
Duuuuh....mi hii elimu hainifai asilani kwa sababu sitegemei kujiunga na hiyo shule siku zote za uhai wangu eeh Mungu nisaidie.

Aamen! Endelea kuomba hivyo hivyo. Usiombe ipite upande wako utakuwa mkufunzi kwa jinsi ninavyokujua mkuu Khantwe...πŸ˜•
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…