Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu

Najisikia kupunjwa sana hii topic kuikutia mbali hivi!! Hata hivyo nimefaidi maushauri. Angalau na mimi niimarishe mchepuko wangu!!

Thanx Kaizer

CC: marejesho
 
Last edited by a moderator:
Najisikia kupunjwa sana hii topic kuikutia mbali hivi!! Hata hivyo nimefaidi maushauri. Angalau na mimi niimarishe mchepuko wangu!!

Thanx Kaizer

CC: marejesho

Aise karibu mkuu..hujachelewa sana
 
Last edited by a moderator:

Well said @ Da Asia. Umejitambua mapema na zaidi nahisi utakuwa unalifanyia kazi jambo hilo....namuonea wivu jamaa...atakuwa anafaudu sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‰
 
mmh!!! shemdarling Kaizer mie hata sijaelewa mada
 
Last edited by a moderator:
Mdomo wenyewe umekatika vipande, maziwa nitayanywaje mwenza?
Bado nawe likukute

ahahah me nikiona nyasi zinatikisika najua kuna joka laja hivo mapema natoka nduki sisubiri linikute hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…