Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu


Hakyamama..... Where is snowhite when I need her the most??

Eti Da Asia, ulishawahi kuwa kwenye ndoa au ulishawahi kuwa nyumba ndogo? Manake yaelekea unayajua yote ya pande zote mbili.

Maana hakuna nyumba ndogo tamu kama ile iliyoachika (hapa wajane hawahusiki).........:becky::becky::becky::becky:
 
Last edited by a moderator:
Ushauri mwingine kwa nyumba ndogo, huu utakua wa mwisho nadhani.
Cheza karata zako vizuri nyumba kubwa isijue. Msaidie baba kwa namna yoyote ile kificha uchafu wenu usijulikane. Nyumba kubwa ikijua, imekula kwako!
Mara nyingi hawa viumbe waitwao wanaume, hawakubali kuharibu ndoa yao ili afurahishe nyumba ndogo. Mahodari wa kujitapa "usijali, hata akijua najua cha kufanya"! Ngoja vibumbuluke, aisee, imekula kwako!!!
Jihadharini sana na hili...
Kama unamuhitaji maana anakufaa, msaidie kulinda ndoa yake.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Mimi niko kwenye ndoa ya miaka mingi tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mimi niko kwenye ndoa ya miaka mingi tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Unahisi mmeo ana mchepuko?
Ukigundua mmeo anachepuka utafanyaje?
Ukimfahamu mchepuko wa mmeo utamfanyaje?
We ulishawahi kuchepuka?
Ulishawahi kuwa nyumba ndogo?
Kama bado uko tayari kuchepuka?
Kama uko tayari umejiandaaje mmeo asijue? (Samahani kwa kutoka nje ya mada)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…