Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Wanaume kumbukeni kua nyumba ndogo ziko smart kushinda nyumba kubwa. Nina imani na nyie mnatekwa sababu hiyo. Tena kama uko busy sana na kazi au biashara, nyumba kubwa imebweteka maana ishaiona ndoa, pete kidoleni, wanajisahau.
Nyumba ndogo busy kufuatilia mambo ya baba yaende vyema. Nyumba ndogo ndio inatafuta shule za watoto wa baba, maongezi pia na baba yanaendana, wakati myumba kubwa iko busy kumueleza baba yaliyojiri ze comedy, nyumba ndogo inamueleza habari za eskrow na ndege iliyopotea.
Mlio kwenye ndoa zingatieni haya pia. Baba anakua busy kiasi hata gazeti kusoma anakosa muda, akija mpe ya maana yaliyojiri kwenye news, sio Joti alichofanya kwenye ze comedy show.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakyamama..... Where is snowhite when I need her the most??
Eti Da Asia, ulishawahi kuwa kwenye ndoa au ulishawahi kuwa nyumba ndogo? Manake yaelekea unayajua yote ya pande zote mbili.
Maana hakuna nyumba ndogo tamu kama ile iliyoachika (hapa wajane hawahusiki).........:becky::becky::becky::becky:
Last edited by a moderator: