Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu

Mkuu hawa mabinti huwa nawaogopa kuwavamia... wanaweza kukushukia mzima mzima.. hasa huyu Lara moko... Mhh ila chumvi hana shida saaana.. Natafuta siku niingie nae Pm kiutu uzima..

Usiogope ukubwa wa samaki, uliza bei
 
Mi ngoja niwe nachungulia tu maana mama yoyoyooo yumo humu na ID yangu niche zua la kuzua bureeee

Hahaa mzee wa Pawaga umeogopa mama yoyoo atakuhis una mchepuko? Tia neno bana
 
Last edited by a moderator:
Dah.......hiyo michepuko yako noma mpk wako na simu zao special lol............kama hawapo huku waambie waje wasome hii thread ili wakumpunguzie mzigo wa kuwa na simu nyingi nyingi!!!!!

Michepuko yote inakuwa na simu yao moja. Yenyewe kwa yenyewe ikifumaniana..... mimi ODM huyoooooo kwa wife.
 
Michepuko yote inakuwa na simu yao moja. Yenyewe kwa yenyewe ikifumaniana..... mimi ODM huyoooooo kwa wife.

Hahahahahahah.........halafu icho kipengele cha mchepuko anaruhusiwa kumharasi mchepuko mwenzie mbona Kaizer hajakiweka....au inahitaji anaza sredi?
 
Last edited by a moderator:
asante sana
japo nimechelewa

SIWEZI KUWA MKE MDOGO,KIMADA WALA MCHEPUKO
 
Michepuko yote inakuwa na simu yao moja. Yenyewe kwa yenyewe ikifumaniana..... mimi ODM huyoooooo kwa wife.

😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱
 
Hahahahahahah.........halafu icho kipengele cha mchepuko anaruhusiwa kumharasi mchepuko mwenzie mbona Kaizer hajakiweka....au inahitaji anaza sredi?

Hiyo sredi ntaianzisha mimi. ngoja kwanza nigonganishe michepuko nipate uzoefu kwanza.
 
Last edited by a moderator:
hahaha haya poa jioni basi kisha tutaleta mrejesho wa "majadiliano" yetu

hapo bold ntaomba upost topic yake tarehe 5/1/2015 maana pana mengi sana apo

Utanisaidia kupost nahisi wakati naendelea kuandika invisible atanitupia kwenye RECIRCLE BIN
sawa????
 
Ahsanta nimeshiba japo baadhi ya maswali yangu umeyakwepa.....

Kwa ufupi kabisa unawaongeleaje nyumba ndogo?

Unahisi uwepo wa nyumba ndogo unaepukika?

Mara nyingi tulioolewa ndio wasababishaji kuwepo kwa nyumba ndogo. Hii inatokana na kujisahau wajibu wetu kwa mume.
Elimu na nafasi makazini zimechangia sana kujisahau. Unashindwa kunyenyekea maana una kipato sawa au wakati mwingine unamzidi mumeo. Hii inakujengea fikra potofu kua "hata mimi ninazo"
Kazi zako zote kwa mume anafanya dada. Uko busy pia. Baba akikosa attention yako obvious atatoka nje kufuata attention. Nyumba ndogo ikigundua hilo ni full kujitoa!
Wanaume ni kama watoto, kitu kidogo sana chaweza kumkimbiza au kumrudisha kwake, walioolewa tuwe waangalifu kwenye hili.
Degree yako na cheo chako acha getini kwako, ukiingia ndani vaa joho la mke wa kaizer. Utaweza. Hata kaizer akienda, hataweka makazi.
Ni hulka zao, kua lazima waonje onje kila kipitacho, haimaanishi hakupendi. Ila ukizembea, atapenda kule zaidi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…