Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu

Kwa magonjwa yalivyo mengi ni muhimu kua karibu na mumeo uchunguze kama anachepuka au la. Ukigundua anachepuka, kabla hujakurupuka, jitizame wewe kwanza. Kuna mengi yanamfanya mwanaume achepuke.
Ukigundua una mapungufu ambayo mumeo amejaribu ku share na wewe lkn ukaamua kupotezea, badilika.
Kama umejiangalia na ukaona kila analostahili mumeo kupata toka kwako analipata, ongea nae taratibu.
Wanaume ni wasikivu ukiwa na approach nzuri, ukikurupuka na kua mkali, umemfukuza.
Mengine sitajibu maana ni too personal.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hapo kwny kuchunguza wachunguzaje?.......ilhali mtu yupo makini ..............akiwa getini tu sms na simu zote zinafutwa........na small nyumba anaambiwa kbs nipo home sasa......au wamnusanusa?
 
Hon Kaizer
Hongera mkuu kwa kuleta huu Uzi lakini naomba nitofautiane na wewe kidogo hivi huoni kama ni kufundisha watu kucheat kwenye ndoa zao mi nahisi ungetoa Uzi ya umuhimu wa kutokucheat sio hii naheshimu mawazo yako ila ni kama unahalalisha flani kwa mawazo yangu lakini all ni all sipendi kuwa na nyumba ndogo cha muhimu ni kukabiliana na challenge kwa nyumba original Hawa nyumba ndogo huwa washenzi Sana sio wa kuwapa matechnic kabisa watoto wa mwenzio watateseka kwa sababu wanaganda hao Wako tayari kutoa 713 almradi akuteke alafu na ka mradi ninacho ya kuwashughulikia the so called nyumba ndogo huwa hawana utu wala haya the likes of shaa
 
Mi ngoja niwe nachungulia tu maana mama yoyoyooo yumo humu na ID yangu niche zua la kuzua bureeee
 
Kwa magonjwa yalivyo mengi ni muhimu kua karibu na mumeo uchunguze kama anachepuka au la. Ukigundua anachepuka, kabla hujakurupuka, jitizame wewe kwanza. Kuna mengi yanamfanya mwanaume achepuke.
Ukigundua una mapungufu ambayo mumeo amejaribu ku share na wewe lkn ukaamua kupotezea, badilika.
Kama umejiangalia na ukaona kila analostahili mumeo kupata toka kwako analipata, ongea nae taratibu.
Wanaume ni wasikivu ukiwa na approach nzuri, ukikurupuka na kua mkali, umemfukuza.
Mengine sitajibu maana ni too personal.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Ahsanta nimeshiba japo baadhi ya maswali yangu umeyakwepa.....

Kwa ufupi kabisa unawaongeleaje nyumba ndogo?

Unahisi uwepo wa nyumba ndogo unaepukika?
 
Hapo kwny kuchunguza wachunguzaje?.......ilhali mtu yupo makini ..............akiwa getini tu sms na simu zote zinafutwa........na small nyumba anaambiwa kbs nipo home sasa......au wamnusanusa?

Wewe bhana..... siku hizi tushatoka. simu nayotumi kuwasiliana na mchepuko huwa hazifiki home... Na namba rasmi zinazofahamika na ambazo nazitumia kuwasiliana na wife mchepuko hauzijui.....
 
Dah.......hiyo michepuko yako noma mpk wako na simu zao special lol............kama hawapo huku waambie waje wasome hii thread ili wakumpunguzie mzigo wa kuwa na simu nyingi nyingi!!!!!
 
Hon Kaizer
Hongera mkuu kwa kuleta huu Uzi lakini naomba nitofautiane na wewe kidogo hivi huoni kama ni kufundisha watu kucheat kwenye ndoa zao mi nahisi ungetoa Uzi ya umuhimu wa kutokucheat sio hii naheshimu mawazo yako ila ni kama unahalalisha flani kwa mawazo yangu lakini all ni all sipendi kuwa na nyumba ndogo cha muhimu ni kukabiliana na challenge kwa nyumba original Hawa nyumba ndogo huwa washenzi Sana sio wa kuwapa matechnic kabisa watoto wa mwenzio watateseka kwa sababu wanaganda hao Wako tayari kutoa 713 almradi akuteke alafu na ka mradi ninacho ya kuwashughulikia the so called nyumba ndogo huwa hawana utu wala haya the likes of shaa

Hon aspen umeongea kwa uchungu sana mkuu walishakufanyia mambo sio nini

Yaani matechnic haya ni kwa ajili wasiharibu mkuu maana wapo tu tukatae tukubali...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom