Kwenu nyie madada

Kwenu nyie madada

Uzee hauongopi hata powder ijazwe kiasi gani.
Mkuu now days huwa mnajua mnavyo fanya mpaka mnaonekana watoto... Sasa mtu ukimpiga kimoja ukimwambia tukaoge hatak au anaenda af hatak maji yamguse usoni
 
Uzuri mmoja hata mmpake vipi mashavu yataonyesha tuu kuwa huyu ni bibi bomba
Eeeh.. Mashavu yakianza kuchuma kunde hukimbii. Sema MTU akiwa chubby kidogo sura yake inachelewa kuzeeka labda awe mtumiaji wa mavipodozi makali
 
Back
Top Bottom