Mwana Mwema
Senior Member
- Nov 15, 2012
- 143
- 133
TARURA mko wapi?
Mnatufanyia kazi nzuri sana kwa barabara zetu za mitaa. Changamoto ni pale mnapokuja kudhibiti zile sehemu korofi ambazo mvua zikinyesha zinajaa maji.
Mfano huku kwetu Tanga, maeneo ya kange kwa mmsai mpaka kwenda mbugani ni kero. Mmeziba njia za kwenye kona kwajili ya kuweka hiyo mifereji, hamjaweka diversion na mradi una zaidi ya miezi mitatu sasa. Mnatufikiria kweli?
Mbona mpo kama hampo, unajikuta badala ya kupita njia rasmi unazunguka sana na njia za mzunguko ni mbovu zaidi. Wakati mwingine inakuwa ni bora zingebaki vilevile kuliko kuweka hayo madaraja, sabu hata namna yalivyojengwa yani mimi sio injinia ila daah, kama angebahatika kupita mwenda zake naona TARURA mngekuwa na hali mbaya sana.