TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Amani kwako.
Maandiko yanasema.
Warumi - Romans 13:
1 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo imeamriwa na Mungu.
2 Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.
3 Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake;
👉Nimeanza na andiko litokalo kwenye msaafu wa Biblia ambalo mara nyingi viongozi wa dini hutumia andiko hilo kama fimbo kwa waumini/kondoo wao ili kuwaogofya juu ya viongozi wa kisiasa wa duniani.
Ninavyofaham si kila kiongozi wa kisiasa as president Mungu karuhusu awe kiongozi NO, hata ibilisi ana weka watu wake, sida inakuja akishaingia madarakani wote lazima tumuunge mkono, but utajuaje huyu ni kutoka kwa Mungu na huyu ni wa ibilisi?
Jibu ni rahisi sana, kiongozi mwenye hofu ya Mungu hawezi kukubali kumpoteza hata kondoo mmoja, atapenda aongoze kundi kubwa na kulifikisha salama, kuingia madarakani akiruhusu kumpoteza kondoo mmoja kuliwa na mbwea wenye njaa inaonyesha you're a devil partner, angalia njia uipitiayo.
Kwako kiongozi wa dini ambaye kwa sasa unaangalia ukiwa ndani waumini (watoa zaka na sadaka) wakidai haki yao lakini wanaishia gizani, wengi mnaogopa kusema hadharani kwa sababu ya hofu ila muwe wazi, isije kuwa hizi dini ni sehemu ya kujificha na yule Mungu mnayemtaja wa AMANI hayupo.
HAKI UINUA TAIFA.