Uchaguzi 2020 Kwenu viongozi wa dini, Uchaguzi unawahusu pia...

Uchaguzi 2020 Kwenu viongozi wa dini, Uchaguzi unawahusu pia...

Viongozi wa dini tulio nao sasa sio watu wakukemea uovu au kusema kweli. Wengi wana sifa za unafiki na undumi la kuwili.
Unyanyasaji unaofanywa na awamu hii wamekuwa kimya bila kukemea na kuachia wachache ndio waseme.
Kongole kwa; watu kama askofu Bagoza na Sheikh Ponda
 
Kwanini unasema ni uzishi wa CHADEMA? Kwani si kweli kuwa watu wameuwawa? Mpaka afe ndugu yako ndo aumini kuwa kuna watu wameuwawa? Kwanini CCM mnajifanya hamnazo kiasi hiki? Hivi mnadhani watu ni wapumbavu wasioelewa hayo? Nawaambia mida unakuja ambapo tutatenganisha maharage na kunde. Wala siyo mbali. Time will tell. The truth never fails.
Mtu akifa akipigania siasa huyo moja kwa moja jehanamu
 
Hichi kipigo cha uchaguzi 2020 kweli kilikuwa kitakatifu, maumivu hayaishi mpaka leo.
 
Back
Top Bottom