Kwa nini asiwatetee wale wanaochinjwa kwa risasi kule Zanzibar..?
Kwanini unasema ni uzishi wa CHADEMA? Kwani si kweli kuwa watu wameuwawa? Mpaka afe ndugu yako ndo aumini kuwa kuna watu wameuwawa? Kwanini CCM mnajifanya hamnazo kiasi hiki? Hivi mnadhani watu ni wapumbavu wasioelewa hayo? Nawaambia mida unakuja ambapo tutatenganisha maharage na kunde. Wala siyo mbali. Time will tell. The truth never fails.Unaamini habari za uzushi wa Chadema
Wachungaji maaskofu mashehe mapadri wa kizazi cha sasa wengi wao kwa 70% ni wanafiki watupu. Walivyo waroho wa pesa za waumini wao , hawana tofauti yoyote na majangili wa ccm.Viongozi wa dini wamekuwa kimya wakiangalia ushenzi ukitendeka!
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽Wachungaji maaskofu mashehe mapadri wa kizazi cha sasa wengi wao kwa 70% ni wanafiki watupu. Walivyo waroho wa pesa za waumini wao , hawana tofauti yoyote na majangili wa ccm.
huwez kusema kuna haki mpaka ukumbane na ukosaji haki....Kwanini unasema ni uzishi wa CHADEMA? Kwani si kweli kuwa watu wameuwawa? Mpaka afe ndugu yako ndo aumini kuwa kuna watu wameuwawa? Kwanini CCM mnajifanya hamnazo kiasi hiki? Hivi mnadhani watu ni wapumbavu wasioelewa hayo? Nawaambia mida unakuja ambapo tutatenganisha maharage na kunde. Wala siyo mbali. Time will tell. The truth never fails.
Pia kuna Bishop Mpemba, anakemea hawa waovuHawa viongozi wa dini UCHWARA mimi nimewadharau wote with exception ya wachache wa Kiislamu ba Kikristo ambao hawaogopi kuikemea hii Serikali dhalimu kwa maovu yake Viongozi kama Askofu Bagonza, Mwamakula, Sheikh Ponda, Sheikh Katambi etc.
Hebu lete sadaka huku. Mengine ni furahisha genge.Amani kwako.
Maandiko yanasema.
Warumi - Romans 13:
1 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo imeamriwa na Mungu.
2 Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.
3 Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake;
[emoji117]Nimeanza na andiko litokalo kwenye msaafu wa Biblia ambalo mara nyingi viongozi wa dini hutumia andiko hilo kama fimbo kwa waumini/kondoo wao ili kuwaogofya juu ya viongozi wa kisiasa wa duniani.
Ninavyofaham si kila kiongozi wa kisiasa as president Mungu karuhusu awe kiongozi NO, hata ibilisi ana weka watu wake, sida inakuja akishaingia madarakani wote lazima tumuunge mkono, but utajuaje huyu ni kutoka kwa Mungu na huyu ni wa ibilisi?
Jibu ni rahisi sana, kiongozi mwenye hofu ya Mungu hawezi kukubali kumpoteza hata kondoo mmoja, atapenda aongoze kundi kubwa na kulifikisha salama, kuingia madarakani akiruhusu kumpoteza kondoo mmoja kuliwa na mbwea wenye njaa inaonyesha you're a devil partner, angalia njia uipitiayo.
Kwako kiongozi wa dini ambaye kwa sasa unaangalia ukiwa ndani waumini (watoa zaka na sadaka) wakidai haki yao lakini wanaishia gizani, wengi mnaogopa kusema hadharani kwa sababu ya hofu ila muwe wazi, isije kuwa hizi dini ni sehemu ya kujificha na yule Mungu mnayemtaja wa AMANI hayupo.
HAKI UINUA TAIFA.
Short-sightedMwenye uwezo huo wa kuwatetea Watanzania ni Rais Magufuli
Ushindi kwa Rais ni 98%