Kwenu viongozi wa Yanga, Hersi

Tulia kolo tunataka midomo ikae kmya kabsa ...
 
Samalekooo majirani....mwaka wenu huu nasikia mmekuja na khanga za 5G ila mna shughuli jamani khaaa 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
Subiri bango lingine baada ya marudiano nadhani mtafukuzana wenyewe kwa wenyewe mnamtafuta mchawi
 
Huyu haelewi kabisa. Haelewi maana ya branding[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] waache wa kusema ushamba waseme. Ila kuiongelea yanga ndo inaipaisha zaidi
Hapana, Huko ni zaidi ya branding, ni uzaramo huo
 
kote huko issue ya mabango imezungumzwa, Hii kibiashara ni bonge moja la Bingo askwambie mtu.
Nilikuwa Kenya last week hakuna media yoyote iliyozungumzia huo upuuzi, nilipita hata pale kwa Kagame nako kimya tu, juzi sasa nikashangaa pale kwa Madiba mabosi wa CAF hawana habari kabisa na hizo 5 za Uto πŸ˜‚πŸ˜‚

Media zote za kwa Madiba zinaijua Simba pekee na zilitangaza na kupiga picha wakati Try Again akipokea tuzo

Cha ajabu hata mhandisi Hersi hakutengewa hata seat pale stadium wala kuitwa kwa jukwaa kupewa heko za 5πŸ˜‚πŸ˜‚

Mzee hizi media za Mbagara ndio zimewafanya mjione mmezungumziwa kila pahali?

Hiyo supu ya comredi Bashite imeua kabisa bongo za wana Uto πŸ˜‚πŸ˜‚

Hakika nimeamini wenye akili Uto ni Wawili tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mkuu umekula?
 
Maana yake Club kwenye idara ya creativity haina watu wasomi wa kuumiza kichwa kuifanya Club iwe midomoni mwa watu kwa kubuni vitu vya msingi vinavyoenda kuifaidisha Club.
 
Hio ni Yako wewe. Sisi tuliosomea marketing tunaelewa. Labda kama unaendekeza ukolomwani[emoji1787]
Hapana kabisa, baadhi yetu wanayanga tumeona ni uzuzu kabisa kuendekeza Bango, uzaramo tuuepuke
 
Dah! Ulipotea kabisaa mkuu. Naona umerudi
 
Haitoi maana halisi. Ukubwa wa Simba mdomoni tu.. kama mmetoa sare na ahly na tumekupiga Tano! Ahly tutamfanya nn? Cros mataputapu chapchap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…