Kwenu viongozi wa Yanga, Hersi

Kwenu viongozi wa Yanga, Hersi

Mimi kama mwana Yanga, nafurahi mno kwa ushindi wa tarehe 5 kaa goli 5.

Lakini naona sasa inakua kama si sawa hadi kuchonga mabango na kuliweka kisa goli 5.
It's enough sasa utani uendelee lakini hii inaenda kutufanya kama mazuzu wa huu ushindi
Mbona simba walitufunga 5 kwenye bonanza la 2012 na goli 4 - 1 hawakuzuzuka kiasi hiki?

It's enough, mimi binafsi naona inakua "too much"
Ishieni hapo hapo kwenye Bango tugange kimataifa mwisho wa mwezi
Tulia kolo tunataka midomo ikae kmya kabsa ...
 
Huyu haelewi kabisa. Haelewi maana ya branding[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] waache wa kusema ushamba waseme. Ila kuiongelea yanga ndo inaipaisha zaidi
Hapana, Huko ni zaidi ya branding, ni uzaramo huo
 
kote huko issue ya mabango imezungumzwa, Hii kibiashara ni bonge moja la Bingo askwambie mtu.
Nilikuwa Kenya last week hakuna media yoyote iliyozungumzia huo upuuzi, nilipita hata pale kwa Kagame nako kimya tu, juzi sasa nikashangaa pale kwa Madiba mabosi wa CAF hawana habari kabisa na hizo 5 za Uto 😂😂

Media zote za kwa Madiba zinaijua Simba pekee na zilitangaza na kupiga picha wakati Try Again akipokea tuzo

Cha ajabu hata mhandisi Hersi hakutengewa hata seat pale stadium wala kuitwa kwa jukwaa kupewa heko za 5😂😂

Mzee hizi media za Mbagara ndio zimewafanya mjione mmezungumziwa kila pahali?

Hiyo supu ya comredi Bashite imeua kabisa bongo za wana Uto 😂😂

Hakika nimeamini wenye akili Uto ni Wawili tu 😂 😂 😂 😂 😂
 
Mkuu umekula?
 
Plan ya Yanga ni kuhakikisha club haikauki midomoni mwa watu na kupitia mabango hilo wame-win.
media kibao-online, tv, radio, magazet, blogs, vijiweni (daladala, bodaboda, migahawa,tax, pool table, vibanda-umiza), maofisini, sokoni na bar kote huko issue ya mabango imezungumzwa, Hii kibiashara ni bonge moja la Bingo askwambie mtu.

Good enough, hii imefika hadi upande wa simba ref: Aden Rage
Maana yake Club kwenye idara ya creativity haina watu wasomi wa kuumiza kichwa kuifanya Club iwe midomoni mwa watu kwa kubuni vitu vya msingi vinavyoenda kuifaidisha Club.
 
Hio ni Yako wewe. Sisi tuliosomea marketing tunaelewa. Labda kama unaendekeza ukolomwani[emoji1787]
Hapana kabisa, baadhi yetu wanayanga tumeona ni uzuzu kabisa kuendekeza Bango, uzaramo tuuepuke
 
Club ya kizaramo hiyo haijawahi kuishiwa shughuli.

Mkitoka kwenye mabango zitashonwa khanga na wavaaji wapo hata humu tunawajua.

Mnataka kuwaona hao wavaaji wa kanga ambao watakuwa tayari kuvaa bila kujali jinsia zao?

Basi chunguzeni kwa makini watao reply hii post yangu mtawajua.
Dah! Ulipotea kabisaa mkuu. Naona umerudi
 
Nilikuwa Kenya last week hakuna media yoyote iliyozungumzia huo upuuzi, nilipita hata pale kwa Kagame nako kimya tu, juzi sasa nikashangaa pale kwa Madiba mabosi wa CAF hawana habari kabisa na hizo 5 za Uto 😂😂

Media zote za kwa Madiba zinaijua Simba pekee na zilitangaza na kupiga picha wakati Try Again akipokea tuzo

Cha ajabu hata mhandisi Hersi hakutengewa hata seat pale stadium wala kuitwa kwa jukwaa kupewa heko za 5😂😂

Mzee hizi media za Mbagara ndio zimewafanya mjione mmezungumziwa kila pahali?

Hiyo supu ya comredi Bashite imeua kabisa bongo za wana Uto 😂😂

Hakika nimeamini wenye akili Uto ni Wawili tu 😂 😂 😂 😂 😂
Haitoi maana halisi. Ukubwa wa Simba mdomoni tu.. kama mmetoa sare na ahly na tumekupiga Tano! Ahly tutamfanya nn? Cros mataputapu chapchap
 
Back
Top Bottom