Kwenu viongozi wa Yanga, Hersi


Defence mechanism ya kutufanya Uto tusi reply.
 
Tunajua ndio lengo, lkn mimi naona kama inaleta uzuzu flani
Si mnasema kule kuna 2 tu.
Basi tuacheni na uzuzu wetu wa kufurahia [emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]G
 
Si mnasema kule kuna 2 tu.
Basi tuacheni na uzuzu wetu wa kufurahia [emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]G
Kumbe...
Mi mwana Yanga kabisa ila ndo hivo mkuu
 
Kwa kawaida lakini Club ndogo inapoifunga giant huwa wanafanya kama yanga wanavyofanya.

Sijawahi ona Manchester United akimfunga Liverpool anaweka bango.

Au Manchester United akimfunga Wigan Athletic anaweka bango.

Ila Wigan Athletic akimfunga Manchester United lazima asheherekee.

Vivyo hivyo kwa Yanga kumfunga Simba ni jambo la bahati na furaha kubwa sana isiyoelezeka, ilikua lazima wanywe supu na kuweka mabango.
 
Its true.....
Ktengo cha ya habari kinataka kuonekana kinapiga kazi, ila ukweli ni kama uliyemfunga ni giant zaidi yako mno...
 
Ukubwa wa Simba upo kwenye nini wewe ndondocha?
 
Tunajua ndio lengo, lkn mimi naona kama inaleta uzuzu flani
Huo uzuzu ndo Raha yenyewe! Asikwambie mtu mabango ya ushindi wa 5G ni raha mno kuyaangalia huku mfukoni huna kitu unasahau shida zako zote!!
 
It's enough, kila kitu kikiwa hakina kiasi ni chaos
Hiyo chaos ndiyo inatafutwa, lengo ni kuwaumiza nyie madunduka kisaikolojia...[emoji1787]...seems like lengo linafanikiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…