Kwenu viongozi wa Yanga, Hersi

Kwenu viongozi wa Yanga, Hersi

Club ya kizaramo hiyo haijawahi kuishiwa shughuli.

Mkitoka kwenye mabango zitashonwa khanga na wavaaji wapo hata humu tunawajua.

Mnataka kuwaona hao wavaaji wa kanga ambao watakuwa tayari kuvaa bila kujali jinsia zao?

Basi chunguzeni kwa makini watao reply hii post yangu mtawajua.

Defence mechanism ya kutufanya Uto tusi reply.
 
Si mnasema kule kuna 2 tu.
Basi tuacheni na uzuzu wetu wa kufurahia [emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]G
Kumbe...
Mi mwana Yanga kabisa ila ndo hivo mkuu
 
Kwa kawaida lakini Club ndogo inapoifunga giant huwa wanafanya kama yanga wanavyofanya.

Sijawahi ona Manchester United akimfunga Liverpool anaweka bango.

Au Manchester United akimfunga Wigan Athletic anaweka bango.

Ila Wigan Athletic akimfunga Manchester United lazima asheherekee.

Vivyo hivyo kwa Yanga kumfunga Simba ni jambo la bahati na furaha kubwa sana isiyoelezeka, ilikua lazima wanywe supu na kuweka mabango.
 
Mimi kama mwana Yanga, nafurahi mno kwa ushindi wa tarehe 5 kaa goli 5.

Lakini naona sasa inakua kama si sawa hadi kuchonga mabango na kuliweka kisa goli 5.

It's enough sasa utani uendelee lakini hii inaenda kutufanya kama mazuzu wa huu ushindi.

Mbona simba walitufunga 5 kwenye bonanza la 2012 na goli 4 - 1 hawakuzuzuka kiasi hiki?

It's enough, mimi binafsi naona inakua "too much".

Ishieni hapo hapo kwenye Bango tugange kimataifa mwisho wa mwezi
Its true.....
Ktengo cha ya habari kinataka kuonekana kinapiga kazi, ila ukweli ni kama uliyemfunga ni giant zaidi yako mno...
 
Kwa kawaida lakini Club ndogo inapoifunga giant huwa wanafanya kama yanga wanavyofanya.

Sijawahi ona Manchester United akimfunga Liverpool anaweka bango.

Au Manchester United akimfunga Wigan Athletic anaweka bango.

Ila Wigan Athletic akimfunga Manchester United lazima asheherekee.

Vivyo hivyo kwa Yanga kumfunga Simba ni jambo la bahati na furaha kubwa sana isiyoelezeka, ilikua lazima wanywe supu na kuweka mabango.
Ukubwa wa Simba upo kwenye nini wewe ndondocha?
 
Tunajua ndio lengo, lkn mimi naona kama inaleta uzuzu flani
Huo uzuzu ndo Raha yenyewe! Asikwambie mtu mabango ya ushindi wa 5G ni raha mno kuyaangalia huku mfukoni huna kitu unasahau shida zako zote!!
 
Back
Top Bottom