logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,543
Mimi kama mwana Yanga, nafurahi mno kwa ushindi wa tarehe 5 kaa goli 5.
Lakini naona sasa inakua kama si sawa hadi kuchonga mabango na kuliweka kisa goli 5.
It's enough sasa utani uendelee lakini hii inaenda kutufanya kama mazuzu wa huu ushindi.
Mbona simba walitufunga 5 kwenye bonanza la 2012 na goli 4 - 1 hawakuzuzuka kiasi hiki?
It's enough, mimi binafsi naona inakua "too much".
Ishieni hapo hapo kwenye Bango tugange kimataifa mwisho wa mwezi