Kwenu wanaJF: Saint Anne ninawashukuru mno

Asante babu kwa kujali[emoji120]
 
Amen dada tunakupenda pia. Asante kwa kuwa naye bega kwa bega kwenye hili Mungu akubariki sana kwa kuwa na moyo wa Kujitoa na nakuombea uendelee na moyo huo.
Ndaga fijo nkamu

Saint Anne It is well mdogo angu. In every pain, God is working.

Romans 8:28 "And we know that in all things God works for the good of those who love him, who have been called according to his purpose"

John 16:33 "I have told you these things, so that in me you may have peace. In this world you will have trouble. But take heart! I have overcome the world."
 
Amen dada, Barikiwa sana. [emoji173][emoji173] [emoji120][emoji120]
 
Amen[emoji24][emoji120]
 
Wale wote mlioniombea,mnaoniombea na mnaonitia moyo namuomba Mungu azidi kuwabariki.

Mungu azidi wabariki wote,
Kuna wanaoendelea kutoa faraja za hali na Mali kwangu na kwa familia yangu kiujumla.
Nasukumwa kutoa shukrani zangu kwenu.
Natambua uwepo wenu kwangu,kazi mnayoifanya Mungu atailipa.

Mungu wangu na azidi kuwatunza,
Akakumbuke sadaka zenu za Muda,faraja,Mali,maombi,mahusia nk [emoji120][emoji120].
 
Barikiwa zaidi ... Na Mungu azidi kukutia nguvu
 
Mungu akulinde mpendwa... Azidi kuwa faraja kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…