Kwenu Wanasimba wa Dar

Kwenu Wanasimba wa Dar

Angalia
Yanga ameifunga timu ngapi mabao 5?
Ameifunga Simba mpaka mabango, wanapost picha na video kwenye mabango kwa maana yake ni kuwa timu ya Yanga ni timu changa kisoka japo imeanzishwa siku nyingi.
Mdomo wenu ndio umewaponza wakifungwa wengine ni wabovu, wamehongwa sasa tumewapiga nyie dunia ijue domokaya kapigwa
 
Mdomo wenu ndio umewaponza wakifungwa wengine ni wabovu, wamehongwa sasa tumewapiga nyie dunia ijue domokaya kapigwa
Piga picha na chukua video kwenye bango la Yanga linaonesha Yanga 5 na Simba 1.
Uniwekee hapa nikuone 😁😁😁😁😁
Yanga kisoka bado changa sana japo ilianza mapema.
Kipindi cha kombe la dunia, kuna timu iliifunga Argentina ikafanya mapunziko kwa siku yaani watu hawakwenda kazini.
Mkiifunga Simba tena nasikia Aly Kamwe amesema mtafanya sherehe kubwa sana.
Piga picha ndugu unitumie😁😁😁😁
 
Level ya Wydad kwenye nini? hao uliotaja wana makombe ya CAF wewe una nini?
Ukiifunga Simba lazima ufanye sherehe ni sawa na Ndada aifunge Simba.
Unaona mabango ya Yanga? Yanga ameifunga timu ngapi 5?
Ushindi wa Simba ndiyo ameweka mabango.
Piga picha na unitumie video kwenye bango la Yanga.
Tafsri hii inaonesha ni kwa jinsi gani Yanga ilivyochanga kisoka.
Msimu uliopita Yanga alipigwa 2 bila na kwenye Ngao ya jamii alifungws. Uliona mashabiki wa Simba wametamba? Kwasababu Yanga ni timu changa kisoka.
Ukitaka kuona timu changa kisoka, hufanya sherehe baada ya kufunga timu kubwa.
Mwenzako yupo Champion League, wewe upo shirikisho yaani umetolewa champion league ukachukua medali za shirikisho unakuja kumtambia
Ni sawa mnafanya mtihani wa darasa la 4 kuingia la 5 halafu wewe ukabaki darasa la 4 ukafanya mtihani ukawa wa pili mwenzako akawa wa 7 darasa la 5. Wa darasa la 4 anakuja kumtambia wa darasa 5 kuwa ana akili sana.
Kaa kwenye hilo bango ujipige picha na kujichukua video ndiyo utangua timu yenu bado sana kisoka.
 
Wanahangaika wenyewe...wana Simba hawana habari kwa sasa wanaona ni kama wehu tuu..malimbukeni..tuko busy na Wasap group kule...wana Simba wanavimba wameamini madogo yalikua yanaota kwa muda mrf kuifunga...
Ndiyo maana wamelishwa supu ya vibudu wa ng'ombe wa kafara
JamiiForums592774928.jpg
 
Unapoizungumzia Simba ni sawa umeizungumzia Wydad, Al Ahly au Mamelod
Kila timu ndogo duniani ina ndoto ya kuifunga timu kubwa. Kama sijakosea kwenye kombe la dunia lililopita kuna timu iliifunga Argentina kule kwao kulikuwa ni siku ya mapumziko kwasababu wameifunga timu kubwa.
Yanga wamefunga timu ngapi 5? Ila ushindi wa timu kubwa wanafanyia sherehe.
Ni sawa na Ndada aifunge Simba 5 lazima wafanye sherehe.
Yanga ni timu ndogo sana kwa Simba.
Msimu uliopita Yanga ilifungwa 2 bila, ulisikia Simba wameweka mabango? Hawajaweka kwasababu Yanga kwa Simba, Yanga ni timu ndogo sana ndiyo maana ndoto ya Yanga ni kuifunga Simba.
Mshabiki wa Yanga popote pale ulipo piga picha na video unitumie nikuone😁😁😁😁
Mavi ya kuku kabisa, mnajilinganisha na Al Ahly, Wydad na Mamemoli, pumbafu kabisa.
 
Hujui mpira zaidi hujui historia,
1.Yanga mwaka 1935 ilianzishwa baada ya hapo ikamzaa Simba mwaka 1936.
2. Yanga imeifunga Simba magoli mengi zaidi
3. Yanga imeshinda makombe mengi zaidi kuliko Simba
4. Yanga haijawahi kutoka top 3 tangu ianzishwe.
5. Yanga ina mashabiki wengi
6. Yanga ni nembo ya nchi
7. Yanga ni timu pendwa ya watu makini kama Kikwete, Gsm, Samia n.k huki Simba ikipendwa na Kingwendi, Mwijaku na Bambo.

Sasa hapo utajua ipi ni timu kubwa zaidi

Kinachofanya na Yanga kwa sasa ni pyschological torture kwenu ili timu yenu isitulie. Na msipoangalia mtakandwa tena 5 wenzenu wamedhamiria wale.
Yanga wanafanya kutengeneza fanbase, kuja kushtuka Mwakarobo FC hoi.
 
Piga picha na chukua video kwenye bango la Yanga linaonesha Yanga 5 na Simba 1.
Uniwekee hapa nikuone [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yanga kisoka bado changa sana japo ilianza mapema.
Kipindi cha kombe la dunia, kuna timu iliifunga Argentina ikafanya mapunziko kwa siku yaani watu hawakwenda kazini.
Mkiifunga Simba tena nasikia Aly Kamwe amesema mtafanya sherehe kubwa sana.
Piga picha ndugu unitumie[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa nitakuwekea si umetaka mwenyewe
 
Ukiifunga Simba lazima ufanye sherehe ni sawa na Ndada aifunge Simba.
Unaona mabango ya Yanga? Yanga ameifunga timu ngapi 5?
Ushindi wa Simba ndiyo ameweka mabango.
Piga picha na unitumie video kwenye bango la Yanga.
Tafsri hii inaonesha ni kwa jinsi gani Yanga ilivyochanga kisoka.
Msimu uliopita Yanga alipigwa 2 bila na kwenye Ngao ya jamii alifungws. Uliona mashabiki wa Simba wametamba? Kwasababu Yanga ni timu changa kisoka.
Ukitaka kuona timu changa kisoka, hufanya sherehe baada ya kufunga timu kubwa.
Mwenzako yupo Champion League, wewe upo shirikisho yaani umetolewa champion league ukachukua medali za shirikisho unakuja kumtambia
Ni sawa mnafanya mtihani wa darasa la 4 kuingia la 5 halafu wewe ukabaki darasa la 4 ukafanya mtihani ukawa wa pili mwenzako akawa wa 7 darasa la 5. Wa darasa la 4 anakuja kumtambia wa darasa 5 kuwa ana akili sana.
Kaa kwenye hilo bango ujipige picha na kujichukua video ndiyo utangua timu yenu bado sana kisoka.
Hio confederation si ulicheza ulifika wapi?
 
Wanahangaika wenyewe...wana Simba hawana habari kwa sasa wanaona ni kama wehu tuu..malimbukeni..tuko busy na Wasap group kule...wana Simba wanavimba wameamini madogo yalikua yanaota kwa muda mrf kuifunga...
Hiyo whatsapp group tunajiungaje
 
Hiyo whatsapp group tunajiungaje
Kama ume update watsup yako kule kwny status kwa chini utaona kunakitu kimeandikwa find channels hapo utaona watu maarufu,club kubwa kubwa kama Madrid kina Liverpool na utaiona Simba...then utaclick Simba utaona page yake utaona kitufe cha ku follow utafollow...utaanza kupata taarifa zote sio mpk instagramee...
 
Thanks nimepata
 
Chezeni mpira , viongozi wenu wanawajua kabisa nyie ni mbumbumbu ndio maana wanakuja na vitu vya kijinga jinga kuwatuliza
Nyie mazuzu msokua na akili endeleeni kubandika mabango kama kumfunga mnyama ni moja ya ajenda zenu za maana...
Ww haikuhusu hii kaa pembeni..
 
Back
Top Bottom