Hujui mpira zaidi hujui historia,
1.Yanga mwaka 1935 ilianzishwa baada ya hapo ikamzaa Simba mwaka 1936.
2. Yanga imeifunga Simba magoli mengi zaidi
3. Yanga imeshinda makombe mengi zaidi kuliko Simba
4. Yanga haijawahi kutoka top 3 tangu ianzishwe.
5. Yanga ina mashabiki wengi
6. Yanga ni nembo ya nchi
7. Yanga ni timu pendwa ya watu makini kama Kikwete, Gsm, Samia n.k huki Simba ikipendwa na Kingwendi, Mwijaku na Bambo.
Sasa hapo utajua ipi ni timu kubwa zaidi
Kinachofanya na Yanga kwa sasa ni pyschological torture kwenu ili timu yenu isitulie. Na msipoangalia mtakandwa tena 5 wenzenu wamedhamiria wale.