Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

Saint Anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
76,039
Reaction score
230,142
Habarini , hopefully mpo salama

Kumekuwa na malalamiko mengi hasa wakaka wanalalamika kutopata wenza ama wachumba sahihi
Wachumba wengi wamekuwa pasua kichwa[emoji27][emoji27]

Kwa dada/mwanamke aliyekamilika atazingatia yafuatayo:-

1 .Kazi
Mwanamke kabla hajaamua kujenga malengo na wewe ataangalia kwanza nini unafanya
Kwa hiyo kitu unachofanya Ni muhimu Sana katika kujenga mahusiano yaliyo mema

Rejea kwa Adamu,Mungu alimpa Adamu kazi ya kuitunza bustani ya edeni
Alimpa Adamu bustani ya Edeni ailime na kuitunza
Baadaye ndipo alipomfanyia msaidizi wa kufanana nae.Adamu hakupewa mwanamke kwanza kabla ya kupewa kazi Bali alipewa kazi ndipo akapewa mwanamke

Mwanzo2:15
Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu,akamweka katika bustani ya Edeni,ailime na kuitunza

Mwanzo2:18-25
Hapa Mungu anamtwaa mwanamke katika ubavu wa Adamu

2 .Maono
Una Maono gani juu ya maisha !?
Mithali23:7
"Maana aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo"
Maono Ni Kama framework ya kila kitu unachokifanya
The more you see the more u succeed
Usipobadili unavyojiona huwezi badili unavyoishi.maono hutofautisha mtu mmoja na mwingine

Mith 29:18@
Pasipo Maono watu hushindwa kujizuia

Wanawake wengi pia huangalia
mwanaume aliye na maono,bila Maono huwez panga vizuri namna gani uishi.,lipi ufanye lipi usifanye

3.Akili
"Ishi na mwanamke wa akili"kifungu nitaleta.
Wanaume wengi hawana akili kabisa ya kuishi na mwanamke
Imeandikwa mwanamke ishi nae kwa akili

Wengi hawajui kuishi na wanawake kwa akili,matokeo yake Ni mahusiano kuvunjika

Jitahidi mnapoomba ombeni pia akili za kuishi na mwanamke kwa akili
.

4.Upendo
Wanawake tunapenda wanaume wanaotupenda kwa dhati .katika upendo Kuna mambo mengi..Kuna uvumilivu,upendo haujivuni,haujisifu,hautakabari,haukosi kuwa na adabu,haufurahii udhalimu,hustahimili yote,hufurahi pamoja na kweli nk

Ukiona mwanamke amefanya kitu ambacho si kizuri
Unashindwa kumuelekeza unakaa kimya Basi wewe huna upendo

Ukiwa na upendo hutaweza mdharirisha mwanamke wako kwa namna yoyote (kuwa na Adabu ambayo Ni moja ya sifa za upendo)

Itaendelea

[emoji3596][emoji3596][emoji3596]
1Petro 3:7
Kadhalika ninyi waume,kaeni na wake zenu kwa akili na kumpa mke heshima,kama chombo kisicho na nguvu na kama warithi pamoja wa Neema ya uzima,kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.

*Akili gani hiyo sasa inahitajika?

Waefeso5:25
Enyi waume,wapendeni wake zenu,Kama Kristo Naye alivyolipenda kanisa,akajitoa kwa ajili yake.

*Kumbe akili inayohitajika ni kuwapenda.
Nampendaje sasa?

1kor 13:4-7
Upendo;
•Huvumilia
•Hufadhili
•Hauhusudu
•Hautakabari
•haujivuni
•Haukosi kuwa na adabu
•Hautafuti mambo yake
•Hauoni uchungu
•Hauhesabu mabaya
•Haufurahii udhalimu
•Bali hufurahi pamoja na kweli
•Huvumilia yote
•Huamini yote
•Hutumaini yote
•Hustahimili yote

AKILI=UPENDO

Nawapenda[emoji8]
IMG-20181231-WA0014.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mwanaume anakosaje mtu wa kuoa? Mambo mengine ya ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ajabu wanawake siku hizi n majanga wana mambo mengi kuliko sisi..ndio maana tunajifanya kutumia muda mwingi eti kumpata mtu sahihi mwisho wa siku tunaangukia pua. Jiulize pia mbona ndoa nyingi zinavunjika pia?
 
Habarini , hopefully mpo salama

Kumekuwa na malalamiko mengi hasa wakaka wanalalamika kutopata wenza ama wachumba sahihi
Wachumba wengi wamekuwa pasua kichwa[emoji27][emoji27]

Kwa dada/mwanamke aliyekamilika atazingatia yafuatayo:-

1 .Kazi
Mwanamke kabla hajaamua kujenga malengo na wewe ataangalia kwanza nini unafanya
Kwa hiyo kitu unachofanya Ni muhimu Sana katika kujenga mahusiano yaliyo mema

Rejea kwa Adamu,Mungu alimpa Adamu kazi ya kuitunza bustani ya edeni
Alimpa Adamu bustani ya Edeni ailime na kuitunza
Baadaye ndipo alipomfanyia msaidizi wa kufanana nae.Adamu hakupewa mwanamke kwanza kabla ya kupewa kazi Bali alipewa kazi ndipo akapewa mwanamke

Mwanzo2:15
Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu,akamweka katika bustani ya Edeni,ailime na kuitunza

Mwanzo2:18-25
Hapa Mungu anamtwaa mwanamke katika ubavu wa Adamu

2 .Maono
Una Maono gani juu ya maisha !?
Mithali23:7
"Maana aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo"
Maono Ni Kama framework ya kila kitu unachokifanya
The more you see the more succeed
Usipobadili unavyojiona huwezi badili unavyoishi.maono hutofautisha mtu mmoja na mwingine

Mith 29:18@
Pasipo Maono watu hushindwa kujizuia

Wanawake wengi pia huangalia
mwanaume aliye na maono,bila Maono huwez panga vizuri namna gani uishi.,lipi ufanye lipi usifanye

3.Akili
"Ishi na mwanamke wa akili"kifungu nitaleta.
Wanaume wengi hawana akili kabisa ya kuishi na mwanamke
Imeandikwa mwanamke ishi nae kwa akili

Wengi hawajui kuishi na wanawake kwa akili,matokeo yake Ni mahusiano kuvunjika

Jitahidi mnapoomba ombeni pia akili za kuishi na mwanamke kwa akili

4.upendo
Mwanamke anahitaji upendo
Anahitaji kupendwa haswaa
Wanawake tunapenda wanaume wanaotupenda kwa dhati .katika upendo Kuna mambo mengi..Kuna uvumilivu,upendo haujivuni,haujisifu,hautakabari,haukosi kuwa na adabu,haufurahii udhalimu,hustahimili yote,hufurahi pamoja na kweli no

Ukiona mwanamke amefanya kitu ambacho si kuzuri
Unashindwa kumuelekeza unakaa kimya Basi wewe huna upendo

Ukiwa na upendo hutaweza mdharirisha mwanamke wako kwa namna yoyote (kuwa na Adamu ambayo Ni moja ya sifa za upendo)

Itaendelea
Nawapenda[emoji8]View attachment 1005565

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera umeandika kweli hivyo ni kwa wale wanawake wema au prudent wife ndio wanaangalia hivyo vigezo.Ila wanawake wapumbavu wanaangalia 1.PESA.2.PESA.3.PESA.4.PESA.

We unaakili sana,yaani we ni mke wangu kabisa.hako kajamaa mnapoteza mda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom