Kuhudumia ni muhimu ila ufanye kwa hiari sio kwa mashinikizo. Mwanamke anatakiwa akukirimu mpaka ujiskie kumfanyia mambo mazuri kama shukurani ya kuwa na wewe.Sasa wana mnataka kodi alipe mwingine, saluni alipie mwingine, nguo nzuri amnunulie mwingine,unadhani ukigonga tissue atanunua nani za kufuta uchafu wako, je nani atanunua pedi?
wewe unataka jukumu la kugonga tu sasa kama ni hivyo demu wako au mkeo si utagongewa kizembe sana na waongaji?
Mwanamke mtu wa ajabu sana anataka vyote, game anataka ile ile na hela anataka,tuache uoga, haikwepeki.
HahhhahJamani [emoji23]
[/QUOTE]Kweli kabissHivyo vyote ninavyo ila huu Mwaka Wa tatu namtafuta Wa kuoa ila wote nao wapata wadangaji,,,kila ninaekutana nae kitu cha kwanza kuniuliza ni Kazi ninayofanya,,,Mfano nilipataga binti mmoja tukawa tunawasiliana vizuri ila akawa anasema yupo busy sana ila siku niliyomwambia nafanya Kazi gani siku hiyo hiyo alitaka tuonane na aje napoishi nikapiga chini,,,,,,nachotaka kusema nikuwa wanawake wanaotaka kuolewa in wengi mno ila wenye sifa za kuolewa ni wachache mno
Walio wengi kweli hawana akili za kuishi na wanawake, eti mwanaume ananuna eti kamnunia mkewe huyo ana akili kweli? Wapo mpaka kugegeda wanasusa [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ur right,,,,wanaume wengine maono,,,,akili hawana, JAMANI ata kubembeleza [emoji50]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakupenda pia japo haukuendelea tenaHabarini , hopefully mpo salama
Kumekuwa na malalamiko mengi hasa wakaka wanalalamika kutopata wenza ama wachumba sahihi
Wachumba wengi wamekuwa pasua kichwa[emoji27][emoji27]
Kwa dada/mwanamke aliyekamilika atazingatia yafuatayo:-
1 .Kazi
Mwanamke kabla hajaamua kujenga malengo na wewe ataangalia kwanza nini unafanya
Kwa hiyo kitu unachofanya Ni muhimu Sana katika kujenga mahusiano yaliyo mema
Rejea kwa Adamu,Mungu alimpa Adamu kazi ya kuitunza bustani ya edeni
Alimpa Adamu bustani ya Edeni ailime na kuitunza
Baadaye ndipo alipomfanyia msaidizi wa kufanana nae.Adamu hakupewa mwanamke kwanza kabla ya kupewa kazi Bali alipewa kazi ndipo akapewa mwanamke
Mwanzo2:15
Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu,akamweka katika bustani ya Edeni,ailime na kuitunza
Mwanzo2:18-25
Hapa Mungu anamtwaa mwanamke katika ubavu wa Adamu
2 .Maono
Una Maono gani juu ya maisha !?
Mithali23:7
"Maana aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo"
Maono Ni Kama framework ya kila kitu unachokifanya
The more you see the more u succeed
Usipobadili unavyojiona huwezi badili unavyoishi.maono hutofautisha mtu mmoja na mwingine
Mith 29:18@
Pasipo Maono watu hushindwa kujizuia
Wanawake wengi pia huangalia
mwanaume aliye na maono,bila Maono huwez panga vizuri namna gani uishi.,lipi ufanye lipi usifanye
3.Akili
"Ishi na mwanamke wa akili"kifungu nitaleta.
Wanaume wengi hawana akili kabisa ya kuishi na mwanamke
Imeandikwa mwanamke ishi nae kwa akili
Wengi hawajui kuishi na wanawake kwa akili,matokeo yake Ni mahusiano kuvunjika
Jitahidi mnapoomba ombeni pia akili za kuishi na mwanamke kwa akili
4.upendo
Mwanamke anahitaji upendo
Anahitaji kupendwa haswaa
Wanawake tunapenda wanaume wanaotupenda kwa dhati .katika upendo Kuna mambo mengi..Kuna uvumilivu,upendo haujivuni,haujisifu,hautakabari,haukosi kuwa na adabu,haufurahii udhalimu,hustahimili yote,hufurahi pamoja na kweli nk
Ukiona mwanamke amefanya kitu ambacho si kizuri
Unashindwa kumuelekeza unakaa kimya Basi wewe huna upendo
Ukiwa na upendo hutaweza mdharirisha mwanamke wako kwa namna yoyote (kuwa na Adabu ambayo Ni moja ya sifa za upendo)
Itaendelea
Nawapenda[emoji8]View attachment 1005565
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewahi kususiwa kugegedwa ?Walio wengi kweli hawana akili za kuishi na wanawake, eti mwanaume ananuna eti kamnunia mkewe huyo ana akili kweli? Wapo mpaka kugegeda wanasusa [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakwepeka sana. Fahamu ya kuwa wakati wewe umejipa majukumu ya baba mzazi kwa mwanamke wako. Kuna kidume kingine kimejipa majukumu ya mtoto kwa mwanamke wako kinapiga buuuure kabisa na kugaiwa za kwako plus mshahara.Sasa wana mnataka kodi alipe mwingine, saluni alipie mwingine, nguo nzuri amnunulie mwingine,unadhani ukigonga tissue atanunua nani za kufuta uchafu wako, je nani atanunua pedi?
wewe unataka jukumu la kugonga tu sasa kama ni hivyo demu wako au mkeo si utagongewa kizembe sana na waongaji?
Mwanamke mtu wa ajabu sana anataka vyote, game anataka ile ile na hela anataka,tuache uoga, haikwepeki.
Nitaendelea mwakani panapo majaaliwaTunakupenda pia japo haukuendelea tena
Yapi?Yaleyale
Hata Mimi nipo kijijiniMambo yenu daslami sie huku kijiji twajibebea tu
Wanaume siwezi kuwasemea.Ukimaliza ulete uzi mwingine kueleza wanaume wanapenda nini.
SijasahauMtoa mada umesahau tunao amua kuoa ni sisi na sio nyie na kuna wengi wanafikia kipindi hayo hawaangalii mfano wale wa mlima moto washajitoa muhanga yoyote yule aje awe pimbi au jamaa anajipu kwenye mgongo awe mfupi mwenye chogo na vinyoleo puani halafu ana hips yote sawa wanaona
Ndo maana asie na kazi maskini anaoa kuhusu upendo siku hizi bado arranged marriage zpo mtapendana mbeleni kwa sababu sisi ndo tunanguvu kubwa ktk kuchagua ktk ndoa sio nyie
Kwa hiyo nyie mnaangalia hicho au sio?Angalia vyote hivyo ila na wewe uwe na TAKO.