blessed chiqqah
Senior Member
- May 19, 2024
- 105
- 291
nataka kujua😂Wewe mambo ya wanaume yanakuhusu nini? Subiri uitwe loji watu wafanye yao
ukibadilika wewe inatoshaSijaingia Jfs siku nyingi!Nilidhan pamebadilika!... Ila ukwel ni kwamba waTz wengi ni wendawazimu.
au sio😂VIdole vya mikono havilingani. Siyo wote wanaoenda lodge,mapori na vichaka kazi yake nini?
Kaka na Baba zako wao wamekupa jibu gani lisiloridhisha mpaka ukaamua kuja huku?habari za weekend wana Jf, hope mko salama wote
Nimekaa hapa sina cha kufanya hela sina nikaanza kuwaza😂😂 kwenu wanaume naomba mniambie leo
hivi kuna mwanaume ashawahi kosa hela ya lodge?
yaani mwanaume anaweza kusema hana hela hata mia lakini hela ya kwenda lodge na manzi au mwanamke akapata au akawa nayo….
huwa mnaziwekaga pembeni au ndo kichwa cha chini kinawazaga fasta pa kupata hela panapatikana….
hebu mje mniambie 😂
Usikute kanyimwa hela ya kuliwa, ila mwamba ya loji anayo..!!Wewe mambo ya wanaume yanakuhusu nini? Subiri uitwe loji watu wafanye yao
Mamdogo umeongea kwa hisia na uzoefu wa kileleni..!!wanaazimanaga na hawanyimani
😂😂😂umeniamshia genye bw wewe
heeeeeeInategemea na mwanamke kama ni muelewa kama wewe tunampeleka kwenye jumba bovu