KWENU WANAUME

KWENU WANAUME

blessed chiqqah

Senior Member
Joined
May 19, 2024
Posts
105
Reaction score
291
habari za weekend wana Jf, hope mko salama wote

Nimekaa hapa sina cha kufanya hela sina nikaanza kuwaza😂😂 kwenu wanaume naomba mniambie leo

hivi kuna mwanaume ashawahi kosa hela ya lodge?
yaani mwanaume anaweza kusema hana hela hata mia lakini hela ya kwenda lodge na manzi au mwanamke akapata au akawa nayo….

huwa mnaziwekaga pembeni au ndo kichwa cha chini kinawazaga fasta pa kupata hela panapatikana….

hebu mje mniambie 😂
 
Kaka na Baba zako wao wamekupa jibu gani lisiloridhisha mpaka ukaamua kuja huku?
 
Back
Top Bottom