Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Habarini wadau,
Mara nyingi sana wanawake wamekuwa wanaposaliti au wanapoamua kujihalalishia dhambi ya uzinzi huwa wanaambiwa kabisa kuwa ukiwa kama mke na kuzini basi Biblia inatoa ruhusa ya wewe mke mzinzi kuachwa moja kwa moja na mumewe (ikiwa kuna ushahidi wa uzinzi huo)
Maajabu ni kwamba nao wanauliza kuwa;
Je, mume akizini au akiwa na mke wa nje aachwe/ apewe talaka?
JIBU: Ni uamuzi wako wewe mwanamke kuwa umsamehe mume huyo, umuombee au umuonye lakini Biblia inashauri kuwa ni vema mume kuwa na mke wake mwenyewe (yaani mmoja)
Lakini hakika, hakuna mahali ambapo Biblia imetamka kuwa mwanaume mzinzi aachwe au apewe talaka na mkewe.
Ikiwa kuna mstari huo katika Biblia Takatifu, mmoja auweke hapa.
Hili limesababisha wanawake wengi (na mmoja amelalamika humu jamvini) kusema kuwa Biblia inawanyanyasa wanawake.
Mwanaume ni mfano wa Mungu. Biblia haifanyiwi arguments na ajabu zaidi huwa haibadiliki.
Enyi wake waombeeni waume zenu waishi kwa namna ya kumpendeza Mungu Muumbaji bila kuwaudhi ninyi ila msishindane na wanaume au kutafuta haki sawa na wanaume.
Hilo halitatokea hakika.
Wabillah Tawfiq,