Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nimemuelewa vizuri mtoa mada, anataka aoneshwe hukumu ya wazinifu kwa ushaidi wa mstari kutoka kwenye bibliaMathayo 19: 9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
Na je kama sijamwacha Mke wangu na kumuoa mwingine? Ila nimetembea tu na mchepuko?Mathayo 19: 9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
sasa hapo si unakuwa umefanya uzinzi.Na je kama sijamwacha Mke wangu na kumuoa mwingine? Ila nimetembea tu na mchepuko?
Lete mstari acha siasaSidhani kama utakuwa umesoma Biblia yote. Na hata kama umeisoma, sidhani kama umeisoma vizuri. Na hata kama umeisoma vizuri, sidhani kama uliielewa...
Agynasa, mbona unakuja na maswali? hebu weka huo mstari unaoongelea mwanamme mzinzi afanywe nini na mkewe ili huu ubishi uishe.
agata edwardsasa hapo si unakuwa umefanya uzinzi.
In future, you will become a great woman. Keep searching, those who search carefully never fails to find.Kwa upande wangu ipo hivi...
Biblia ni kama katiba, imeandikwa na binadamu mostly men...ambao wameandika mengi kujipendelea wao na kumnyima mwanamke haki na asiwe na sauti yoyote ile hata kama anaonewa.
Mimi ni mkristu..kwenye biblia siamini kila kitu, ninachoshika ni zile amri kumi za Mungu na baadhi ya Mistari ambayo ni Mungu au yesu mwenyewe ameyatamka.
Kila mtu anatafsiri yake katika kila kifungu na ukisikiliza tafsiri za watu mbalimbali unapotea hata hujui ufate kipi.
Mungu aliposema USIZINI sidhani kama alikuwa anamwambia mwanamke peke yake, amri hii inatakiwa ifuatwe na jinsia zote.
Sasa wewe mume ufanye uzinzi utegemee nikusamehe wakati mimi nikifanya unaniacha nani kasema?
.
.
Mume fanya uzinzi nakupiga chini within a minute maana najua kama nikifanya mimi itakuwa ni vita ya tatu ya dunia.
Nilijiwekea kusamehe uzinzi wa mume ila jf imenifundisha kuwa sipaswi kusamehe maana mimi sitasamehewa.
Ntakuita mkuu wala usiwazeAkileta huo mstari na sio ule ushauri wa Mtume Paulo katika Wakorintho unistue mkuu.
Ngoja kwanza nikufundishe ku phrase your hypothesis. Hata siku moja usithubutu kusema neno 'HAKUNA' ila sema 'SIJAONA'...Lakini hakika, hakuna mahali ambapo Biblia imetamka kuwa mwanaume mzinzi aachwe au apewe talaka na mkewe.
Ikiwa kuna mstari huo katika Biblia Takatifu, mmoja auweke hapa.
Wabillah Tawfiq,
==============================================Basi kama wewe uliisoma yote na ukaielewa weka hoja na vifungu
Aiseee wew umetuelewesha vizuri kwa sabab biblia imesema kila mtu awe na mtu wake mwenyww na sio watu wao.apo namaanisha mume mmja na mkr mmojaHua mnasoma biblia za wapi ndugu zangu?
Wakorintho wa kwanza 7:1-4 inasema hivi
1. Basi kuhusu mambo ambayo mliandika habari zake, ni vema mwanamume asimguse mwanamke
2. lakini, kwa sababu ya kuenea kwa uasherati, kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
3. Mume na ampe mke wake haki yake; lakini mke pia na amfanyie vivyo hivyo mume wake.
4. Mke hana mamlaka juu ya mwili wake mwenyewe, bali mume wake anayo; vivyo hivyo, pia, mume hana mamlaka juu ya mwili wake mwenyewe, bali mke wake anayo
Biblia Takatifu haijawahi kumruhusu Mwanamke kumuacha Mumewe kwakuwa tu Amezini ila Mungu ndiye atakayemwadhibu Mwanaume huyo.Kwa upande wangu ipo hivi...
Biblia ni kama katiba, imeandikwa na binadamu mostly men...ambao wameandika mengi kujipendelea wao na kumnyima mwanamke haki na asiwe na sauti yoyote ile hata kama anaonewa.
Mimi ni mkristu..kwenye biblia siamini kila kitu, ninachoshika ni zile amri kumi za Mungu na baadhi ya Mistari ambayo ni Mungu au yesu mwenyewe ameyatamka.
Kila mtu anatafsiri yake katika kila kifungu na ukisikiliza tafsiri za watu mbalimbali unapotea hata hujui ufate kipi.
Mungu aliposema USIZINI sidhani kama alikuwa anamwambia mwanamke peke yake, amri hii inatakiwa ifuatwe na jinsia zote.
Sasa wewe mume ufanye uzinzi utegemee nikusamehe wakati mimi nikifanya unaniacha nani kasema?
.
.
Mume fanya uzinzi nakupiga chini within a minute maana najua kama nikifanya mimi itakuwa ni vita ya tatu ya dunia.
Nilijiwekea kusamehe uzinzi wa mume ila jf imenifundisha kuwa sipaswi kusamehe maana mimi sitasamehewa.
My Aknowledgement kwa ushauri huo.Ngoja kwanza nikufundishe ku phrase your hypothesis. Hata siku moja usithubutu kusema neno 'HAKUNA' ila sema 'SIJAONA'...
Wewe kutokuona sio tiketi ya kusema hakuna. Huenda kuna mwingine amekiona hicho unachokisema HAKUNA.
Dr Hans Brix alipotumwa na umoja wa mataifa kutafuta silaha za maangamizi ya halaiki nchini Iraq, alitoa ripoti akisema, 'Hatujaona silaha za maangamizi ya halaiki nchini Iraq'. Hakusema hakuna. Hiyo ndiyo scientific way ya kutoa conclusion. Ukisema hakuna unajifunga kwa kitu ambacho huna uhakika nacho!
Wakishaoana wawili(sio zaidi)wanakuwa mwili mmoja, bibilia haitaki waachane isipokuwa kwa uzinzi, hivyo uzinzi unaachanisha ndoa bila kujali ni nani kazini, kwa hiyo mume mzinzi anatakiwa aachwe/apewe talaka, hakuna aliye juu ya sheria ya uzinzi, bibilia haijahalalisha uzinzi kwa mwanammeAgynasa, mbona unakuja na maswali? hebu weka huo mstari unaoongelea mwanamme mzinzi afanywe nini na mkewe ili huu ubishi uishe.
Hiyo ni Amri mojawapo miongoni mwa Amri 10 za Mungu.Hivi unaelewa ila Amri ya Saba inasemaje??
7. USIZINI
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Honestly hapo hakuna mstari unaosema mwanamke ampe/adai talaka kwa mumewe sababu ya uzinzi. Hapo ni maoni tu ya Paulo kuhusu mume na mke juu ya namna gani waishi kama mume na mke.Mleta Uzi pita huku usome nondo za mwanaume mwenzio anaejielewa,..
Rudia tena kusoma chapisho langu nililokuquote hap juu. Nimeshaedit na kuongezea nyama... Nadhani na swali lako litakuwa limeshajibiwa kwenye hiyo addition...My Aknowledgement kwa ushauri huo.
Shukran sana.
Ila nikuulize, wewe umeshaona mstari huo unaompa Mwanamke mamlaka hayo?