Kwenu wanawake: Hakika, hakuna mstari wowote katika Biblia unaomwadhibu wanaume mwenye wake wengi

Kwenu wanawake: Hakika, hakuna mstari wowote katika Biblia unaomwadhibu wanaume mwenye wake wengi

kidogo nimesahahu andiko ila naahidi kulileta once nikilipata

linasema hiv waziwazi wala mwasherati wala mzinzi hawatourithi ufalme Wa Mungu hakutaja jinsia hapa alisema in general

nini maana ya uasherati?
Na nini maana ya uzinzi?
Ninarudia kuuliza:

Ni wapi ambapo Mwanamke ameruhusiwa kumuacha Mume wake kwasababu ya Uzinzi?
 
Uzinzi haujawekewa kinga kwenye biblia, si kwa mwanaume ama mwanamke.

Kumbukumbu la torati 22:22
Ikiwa mwanamume atapatikana akilala na mwanamke aliye na mume, wote wawili watauawa pamoja, yule mwanamume anayelala na mwanamke pamoja na huyo mwanamke. Kwa hiyo lazima utaondolea mbali lililo baya kutoka katika Israeli.

Mambo ya walawi 20:10
Sasa mwanamume anayefanya uzinzi na mke wa mwanamume mwingine ni mwanamume anayefanya uzinzi na mke wa mwenzake. Lazima auawe, mwanamume huyo mzinzi na vilevile mwanamke huyo mzinzi

Luka 16:18
Kila mtu anayemtaliki mke wake na kuoa mwingine anafanya uzinzi, naye anayemwoa mwanamke aliyetalikiwa kutoka kwa mume anafanya uzinzi.
Mleta Uzi pita huku usome nondo za mwanaume mwenzio anaejielewa,..
 
Hivi unaelewa ila Amri ya Saba inasemaje??

7. USIZINI

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Uzinzi haujawekewa kinga kwenye biblia, si kwa mwanaume ama mwanamke.

Kumbukumbu la torati 22:22
Ikiwa mwanamume atapatikana akilala na mwanamke aliye na mume, wote wawili watauawa pamoja, yule mwanamume anayelala na mwanamke pamoja na huyo mwanamke. Kwa hiyo lazima utaondolea mbali lililo baya kutoka katika Israeli.

Mambo ya walawi 20:10
Sasa mwanamume anayefanya uzinzi na mke wa mwanamume mwingine ni mwanamume anayefanya uzinzi na mke wa mwenzake. Lazima auawe, mwanamume huyo mzinzi na vilevile mwanamke huyo mzinzi

Luka 16:18
Kila mtu anayemtaliki mke wake na kuoa mwingine anafanya uzinzi, naye anayemwoa mwanamke aliyetalikiwa kutoka kwa mume anafanya uzinzi.
ONTARIO,

Hapa unaelezea jinsi ambavyo UZINZI na UASHERATI unapingwa katika Biblia...na sijahitaji hilo.

LAKINI BADO hujanionesha mstari unaomruhusu Mwanamke kumwacha Mume wake kwasababu ya Uzinzi.
 
Mleta Uzi pita huku usome nondo za mwanaume mwenzio anaejielewa,..
Hizo ni Nondo ila bado hazijibu swali nililouliza.

Nimeuliza kuwa, ni wapi ambapo Biblia inampa Mwanamke mamlaka ya kumuacha Mumewe kwa uzinzi?
 
Uzinzi ni uzinzi tu kwani huyo Mwanamke anafanya uzinzi bila Mwanaume? Kwanini Mwanamke peke yake aonekane kuwa ana dhambi?
 
Habarini wadau,

Mara nyingi sana wanawake wamekuwa wanaposaliti au wanapoamua kujihalalishia dhambi ya uzinzi huwa wanaambiwa kabisa kuwa ukiwa kama mke na kuzini basi Biblia inatoa ruhusa ya wewe mke mzinzi kuachwa moja kwa moja na mumewe (ikiwa kuna ushahidi wa uzinzi huo)

Maajabu ni kwamba nao wanauliza kuwa;

Je, mume akizini au akiwa na mke wa nje aachwe/ apewe talaka?

JIBU: Ni uamuzi wako wewe mwanamke kuwa umsamehe mume huyo, umuombee au umuonye lakini Biblia inashauri kuwa ni vema mume kuwa na mke wake mwenyewe (yaani mmoja)

Lakini hakika, hakuna mahali ambapo Biblia imetamka kuwa mwanaume mzinzi aachwe au apewe talaka na mkewe.

Ikiwa kuna mstari huo katika Biblia Takatifu, mmoja auweke hapa.

Hili limesababisha wanawake wengi (na mmoja amelalamika humu jamvini) kusema kuwa Biblia inawanyanyasa wanawake.

Mwanaume ni mfano wa Mungu. Biblia haifanyiwi arguments na ajabu zaidi huwa haibadiliki.

Enyi wake waombeeni waume zenu waishi kwa namna ya kumpendeza Mungu Muumbaji bila kuwaudhi ninyi ila msishindane na wanaume au kutafuta haki sawa na wanaume.

Hilo halitatokea hakika.

Wabillah Tawfiq,
Hivi mkuu unavyolitamka hilo neno la mwanaume ni mfano wa MUNGU hauoni uzito kwenye nafsi yako? nauliza tu
 
kidogo nimesahahu andiko ila naahidi kulileta once nikilipata

linasema hiv waziwazi wala mwasherati wala mzinzi hawatourithi ufalme Wa Mungu hakutaja jinsia hapa alisema in general

nini maana ya uasherati?
Na nini maana ya uzinzi?

1 Wakorintho 6:9,10
 
Ni wapi ambapo Biblia imempa Mwanamke Mamlaka ya kumuacha Mume wake wa Ndoa kwasababu ya Uzinzi?

Swali ni rahisi sana ila hamlijibu.

Badala yake mnajibu msichoulizwa.
Kwa upande wangu ipo hivi...
Biblia ni kama katiba, imeandikwa na binadamu mostly men...ambao wameandika mengi kujipendelea wao na kumnyima mwanamke haki na asiwe na sauti yoyote ile hata kama anaonewa.
Mimi ni mkristu..kwenye biblia siamini kila kitu, ninachoshika ni zile amri kumi za Mungu na baadhi ya Mistari ambayo ni Mungu au yesu mwenyewe ameyatamka.
Kila mtu anatafsiri yake katika kila kifungu na ukisikiliza tafsiri za watu mbalimbali unapotea hata hujui ufate kipi.
Mungu aliposema USIZINI sidhani kama alikuwa anamwambia mwanamke peke yake, amri hii inatakiwa ifuatwe na jinsia zote.
Sasa wewe mume ufanye uzinzi utegemee nikusamehe wakati mimi nikifanya unaniacha nani kasema?
.
.
Mume fanya uzinzi nakupiga chini within a minute maana najua kama nikifanya mimi itakuwa ni vita ya tatu ya dunia.
Nilijiwekea kusamehe uzinzi wa mume ila jf imenifundisha kuwa sipaswi kusamehe maana mimi sitasamehewa.
 
ONTARIO,

Hapa unaelezea jinsi ambavyo UZINZI na UASHERATI unapingwa katika Biblia...na sijahitaji hilo.

LAKINI BADO hujanionesha mstari unaomruhusu Mwanamke kumwacha Mume wake kwasababu ya Uzinzi.
Hua sipendi sana kubishana lkn inaonekana wewe ni mbishi wa asili bro. Mwanzo uliomba vufungu vinavyozungumza adhabu kwa mwanaume mzinzi nikakupa... sasa hivi unataka kifungu kua kama mwanamke anaweza kutoa talaka, acha nikupe. Usipoelewa basi, sina cha kukusaidia.

Soma Marko 10:11-12
11. Naye akawaambia: “Mtu yeyote anayemtaliki mke wake na kumwoa mwingine anafanya uzinzi dhidi yake
12. Na mwanamke, baada ya kumtaliki mume wake, akiolewa na mwingine, anafanya uzinzi.”

Leta na ww kifungu kinachosema mwanamke hapaswi kumtaliki mumewe akifanya uzinzi
 
Changamoto hapa Ni Lugha.
Katika kiingereza wakati jinsia sio specific hutumia kiwakilishi "He" . Ingawa Biblia inasema Mbinguni hakuna Jinsia Biblia hutumia He kuwarejelea watu wa Mbinguni.
Taifa la Israeli ktk Bible huitwa WANA wa Israel japo Ni Mchanganyiko wa Jinsia 2,ke na me .
 
Mathayo 19: 9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
 
ONTARIO hayo ni maagizo pamoja na ushauri wa Mtume Paulo.

Nimehitaji mstari unaitoa adhabu kwa Mume aliyezini ama unaomruhusu Mke kumwacha Mume wake kwa uzinzi.
Kwenye bibilia hakuna mistari inayoelekeza kuhukumu mtu mzinifu au awayeyote, kazi ya kuhukumu ni ya Mungu pekee, isipokuwa bibilia inaelekeza mwanaume awe na mke mmoja, akiwa na wanawake wengi huyo ni mzinifu, na hukumu yake ataitoa Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua sipendi sana kubishana lkn inaonekana wewe ni mbishi wa asili bro. Mwanzo uliomba vufungu vinavyozungumza adhabu kwa mwanaume mzinzi nikakupa... sasa hivi unataka kifungu kua kama mwanamke anaweza kutoa talaka, acha nikupe. Usipoelewa basi, sina cha kukusaidia.

Soma Marko 10:11-12
11. Naye akawaambia: “Mtu yeyote anayemtaliki mke wake na kumwoa mwingine anafanya uzinzi dhidi yake
12. Na mwanamke, baada ya kumtaliki mume wake, akiolewa na mwingine, anafanya uzinzi.”

Leta na ww kifungu kinachosema mwanamke hapaswi kumtaliki mumewe akifanya uzinzi
Wanaume Wa kiafrika wana matatizo sana hapo atakuja kubisha tena,anatafuta sapoti ya wazinzi wenzie.
 
Back
Top Bottom