Kwenu wanawake: Hakika, hakuna mstari wowote katika Biblia unaomwadhibu wanaume mwenye wake wengi

WAPI ULIAMBIWA MUNGU ANA JINSIA!?
yani mnajiaminishaga vitu vya kiwehuuuu!
ETI MUNGU ANAJITAMBULISHA KAMA MWANAUME!
Punguza povu dada yangu tujadili taaratibu.

Biblia mara nyingi sana imemtambua Mungu kama:

-Mungu BABA,

-BWANA Mungu

Sasa kuna BABA mwanamke?

Au kuna BWANA mwanamke?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Na Biblia inasema hivii katika kitabu cha mwanzo...

"Na tumfanye Mtu kwa mfano wetu" kisha akaumbwa Adam.

Sasa kwanini tusiseme Mwanadamu mume (Yaani Adam) ni mfano wa Mungu?


Wewe huwa unasoma Biblia kweli?
 
TALAKA NI NINI?
AHAHHAHAHHAHA NANI ANASUBIRI TALAKA SIKU HIZI?
WE BAKI NA MAMLAKA yako
Ukimtoroka mwanaume bila kuomba talaka, unatafutwa na unakamatwa kwa kutelekeza majukumu ya ndoa.
Unashtakiwa na unaweza kulipa faini au kufungwa.
Ukikubali kuolewa ujue huna mamlaka ya kumkimbia mwanaume aliyekuoa hadi ufuate utararibu unaokubalika na jamii.
Kama unabisha jaribu uone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kidogo nimesahahu andiko ila naahidi kulileta once nikilipata

linasema hiv waziwazi wala mwasherati wala mzinzi hawatourithi ufalme Wa Mungu hakutaja jinsia hapa alisema in general

nini maana ya uasherati?
Na nini maana ya uzinzi?
hakika kwenye uasherati 99. 9% ya dunia hatuponi

1, uasheraiti ni mwanamke na mwanaume(ambao hawajaoana) wakafanya ngono
2, uzinzi ni mwanamke na mwanaume(ambao wana ndoa zao) wakafanya ngono nje ya ndoa

Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
 
Mungu alimuumba Adam na Hawa (mwanamke na mwanaume), hakuumba wanawake wawili au Hawa wawili. Hivi kwa nini mnalazimisha?
 
Hakunaga kitu kama hicho
 
Hakunaga kitu kama hicho
Kipo
Mara nyingi wanaume huwa wanapotezea tu baada ya kutorokwa na wake zao.
Mwanaume kifungua kesi ya kutelekezwa inakubaliwa.
Na kama kuna watoto wadogo kesi inakuwa ngumu zaidi.

Soma sheria ya ndoa.
 
Kipo
Mara nyingi wanaume huwa wanapotezea tu baada ya kutorokwa na wake zao.
Mwanaume kifungua kesi ya kutelekezwa inakubaliwa.
Na kama kuna watoto wadogo kesi inakuwa ngumu zaidi.

Soma sheria ya ndoa.
Ndo hivyo hamna ubavu wa kufungua kesi, na hata kama akishtakiwa hatalazimishwa kurudi kuishi nae. Ndoa ni hiari na si lazima.
 
Ndo hivyo hamna ubavu wa kufungua kesi, na hata kama akishtakiwa hatalazimishwa kurudi kuishi nae. Ndoa ni hiari na si lazima.
Kumbuka umelipiwa mahali na umesaini mkataba wa ndoa.
Hilo jambo ni la kisheria kama mkataba wa makinikia.
Huoni huho Ulaya ukivunja mkataba wa ndoa inakupasa umlipe mwenza wako kiasi atakacho kudai kama fidia ya kupotezewa muda.
Huku kwetu mambo yanaenda kienyeji kwa kuto kujua sheria za ndoa.
Huwezi tu akamka asubuhi na kuamua kuiacha ndoa yako. Umevunja mkataba na lazima ulipe kwa mwenza anayejitambua.
 
Ila kiukweli kila mwanaume akitaka awe na mke mmoja na aisiwe na mchepuko, wanawake wengine mbona watakosa wanaume? Km ni hivyo kwanini mungu aliruhusu wanawake wawe wengi duniani kuliko wanaume? Ana kusudi lake kufanya hivyo ambalo mimi na wewe hatulijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kuona vipi tena kusikohusisha macho sheikh?
Huu ubishi unaoutaka hauna maana yeyote nishakueleza kuwa maana yangu ni kutaka kujua unaposema mwanaume ni mfano wa MUNGU nafsi yako haihisi chochote kusema hivyo?
 
Mara nyingi majadiliano kama haya yenye kuhusisha biblia ukichunguza utaona watu hawatofautiani kwenye kuelewa tafsiri ya maandiko ya biblia bali hubishana kwa kutofautiana mitazamo yao juu ya mambo ya kidini,na ndiyo maana wengine humu husema hawaamini biblia yote na bado ni wakristo.
 
Bado hujajibu hoja ya mleta hoja mkuu,nahisi hujamuelewa

Sikiliza Toka Kwangu!
 
Mumeo akikusaliti piga chini. Sidhani kama ni kweli biblia ina walinda wanaume, wewe unaonyesha dalili KUBWA za ukengeufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kidogo nimesahahu andiko ila naahidi kulileta once nikilipata

linasema hiv waziwazi wala mwasherati wala mzinzi hawatourithi ufalme Wa Mungu hakutaja jinsia hapa alisema in general

nini maana ya uasherati?
Na nini maana ya uzinzi?

Ufunuo 3:21 Kama sijakosea
 
Ufunuo 3:21 Kama sijakosea
Kuhusu kukemea uasherati na uzinzi imeandikwa katika kitabu cha.
1 Korintho 6 : 9.

Mzinzi anafanya ngono hali ya kuwa ameoa au kuolewa.
Muasherati ni mngono mwanaume asiyeoa.
Mngono mwanamke ni malaya au kahaba.
Mwanaume haitwi kahaba au malaya. ni muasherati bachela au mzinzi akioa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…