Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

Waefeso 5:5 Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.
 
Sikubaliani na wewe unaposema wimbi kubwa, watu wanaofanya hivyo ni wachache.

Ukitaka uamini ninachosema anza na kuangalia kwenye familia yako, ndugu zako na rafiki zako, ukipata ni wachache basi ujue na kwingine ni hivyohivyo
 
Ningeungana na wewe ikiwa umelenga kukemea kucheat lakini kumbe issue ni kutoka na waliowazidi umri!

Yote kwa yote hii dunia kuna watu wanazaliwa kupenda wakubwa na wengine kupenda wadogo, mimi nina mfano hai kuna jamaa tumesoma naye, anadili na watu wazima tu tena anakwambia kwa mademu umri wake aliowahi kutoka nao basi walimtongoza wenyewe.

Huyo jamaa katoka hadi na waliomzidi miaka 20, mimi mwaka huu mwezi wa tatu kuna mmama alinitimbia kwa messenger tena bila kupepesa kasema shida zake, kesho njoo unigonge Sokomatola sehemu flani
 
Mie nani niwaingilie kwenye maisha yao? Kumvulia chupi na kumuonyesha nyonyo mtu mzima aliyemzidi umri wa miaka miwili hata 15 kuna tofauti ipi na kumvulia chupi na kumuonyesha nyonyo babu aliyemzidi miaka 20!?
Kwa hiyo unaunga mkono tabia za majimama kutembea na vijana waliowazidi umri sawa na watoto wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…