Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

Vijana Wana nguvu, hafu wanaume waliooa hawana nguvu za kiume na wako busy na makazi Yao so hata ka Mimi natafta mtu mwenye nguvu wakutoa ugwadu bana
Halafu mnatusema tutafute hela,ila dah ndio maana sometimes ukitosheka mwenyewe inatosha.

Kwa hiyo siku hizi mnataka show hela hamtaki.
 
Vijana Wana nguvu, hafu wanaume waliooa hawana nguvu za kiume na wako busy na makazi Yao so hata ka Mimi natafta mtu mwenye nguvu wakutoa ugwadu bana
Upo tayari kufanya udanganyifu ukiwa ndani ya ndoa takatifu?
 
Halafu mnatusema tutafute hela,ila dah ndio maana sometimes ukitosheka mwenyewe inatosha.

Kwa hiyo siku hizi mnataka show hela hamtaki.
Wengine tuna hela zetu tunataka mnyaduo wa nguvu bana sasa mwanaume hamalizi sekunde na ana michepuko kwanini usimtafte furaha yako.
N. B waweza ukawa wampenda mtu ila hakuridhishi unatafta kidumu Cha kuoa jahazi
 
Asante umeeleza vyema, majukumu ni chanzo cha wengi kuwafanya watoke nje ya ndoa kupata mtu wa kuwaridhisha. Lakini kiuhalisia lile tendo nila kawaida na ni ndani ya muda mchache unakuwa uneridhika kwanini urisk ndoa yako kwa kutoka nje na kwenda kuchepuka kumbuka hapo unaingia gharama nyingine za kulipia chumba, kumkatikia pia kumpa posho kwa kazi πŸ’πŸ½β€β™€οΈ
 
jamani....Tuseme ukweli tu.
wamama wanatupenda sisi vijana askwambie mtu. Wazee wamechoka sana wakijitahid viwili hoi...Ila sisi vijana show show

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio michezo yenu eeh, ndio maana huyu mama hapa kazini hata ufanisi wa kazi umeshuka kutwa muda wote yuko na simu yake. Sasa sijui hata anakumbuka majukumu yake akiwa nyumbani?
 
Ukiangalia hata mtiririko wa comments zinazotolewa utagundua kuwa chanzo cha kuchepuka hasa kwa wanawake ni sababu niliokupa hapo juu,wengi unakuta waliyajua haya mambo kabla ya ndoa,kwahiyo kurevenge ni fraction of a second,huwa hawajiulizi mara mbili,kwa mtu ambaye ujana wake hakuhangaika sana au hukupitiwa au hakuwa mtundu sio kwamba hawezi kurevenge,ila wapo wachache sana kulinganisha na waliohangaika,pia elewa kuwa inapokuja swala la kuchepuka au kutenda dhambi ya uzinzi watu huwa hawaangalii risk,ingawa always matokeo yake huwa sio mazuri...
 
Wengine tuna hela zetu tunataka mnyaduo wa nguvu bana sasa mwanaume hamalizi sekunde na ana michepuko kwanini usimtafte furaha yako.
N. B waweza ukawa wampenda mtu ila hakuridhishi unatafta kidumu Cha kuoa jahazi
Wacha weee......... nijongeee nini DM na mimi πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜ŽπŸ˜Ž,manake upepo ninao.
 
Vijan wenzangu nitafutieni na mimi huyo Mmama nianze kuona viwango

Ila nilikuw napga mmama wa kipare lakn bado alikuw ananiomb ela kwa nguvu na bili hataki kulpa au ku share cost .
NB usimjarbu mmama wa kipare
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…