Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

Umeongea sahihi sana, ila kuna baadhi ya watu wataka kuwaaminisha watu kuwa uzinzi kwa mwanaume ni urijali tena wanashawishiana sana.kama tabia yako n uzinzi endelea nayo maana ndivyo ulivyochagua kuishi hivyo.
 
Halafu huwa wanasingizia hilo tu
 
Na wa hivi mna bahati ya kupata waume wazembe.

Mwanaume aliekamilika hawezi kuwekwa chini ya uangalizi na cm hafichi ila ndo ujipange
 
Wewe umekamilika kibinadam barikiwa
 
Wewe mwanaume wa hovyo.. nanwi kwakwambia mwanamke awe hivyo!!! Wewe ndio mal**ya, umekujaa uchafu sana.. ni kama jinamwizi.. unafikirwi upo wewe tu duniani.. humwezi ndoa acha mke na nyie hamjaoa.. mwamuona mutenda dhambi huyu!!
 
Onyo hili ulilotoa ni kali mno kwao, kwangu naona ni bora kujuwa ukweli ili mzozane na yaish lakini kukaa tu na kuhisi labda au pengine naona ni mbaya zaidi kwani mtu anaweza changanikiwa.
 
Watanzania/waafrika kwa ujumla hasa wanaume tuache kutumia ndoa kama sympathy pale ni mnaingia mkataba wenye equal terms and conditions sasa hiyo sijui "ukiona umeolewa....bla ....bla ...bla " haina mantiki.

Ana haki ya kukuchunguza akiona hauelekei na wewe una haki hiyo pia tuache kuona kama ndoa ni zawadi anayopewa mwanamke na bila hivyo hawezi survive.

N.b
UNAHITAJI KUKUA KIAKILI KWANZA BADILI MITAZAMO HASI.
 
Amen. This is powerful.
 
Oyyyy wanaume kale kaa app ketu ka calculator lock pro vipi ukifika karibu na home toooo wahatsaaap, gmessage na viapp app vingine unavitupia humo mkee atatafuta mpaka jasho la meno haoni kitu
 
Kushika simu ya mtu si jambo zuri sana, especially kwa wapenzi so inaweza leta ugomvi ni vyema kila mtu awe na simu yake kuepusha ugomvi na taflani za apa na pale
 
Wewe mwanaume wa hovyo.. nanwi kwakwambia mwanamke awe hivyo!!! Wewe ndio mal**ya, umekujaa uchafu sana.. ni kama jinamwizi.. unafikirwi upo wewe tu duniani.. humwezi ndoa acha mke na nyie hamjaoa.. mwamuona mutenda dhambi huyu!!
Ukimaliza kutoa povu ...acha kushika simu ya mmeo
 
Hivi unawezaje kuanika Mambo yako yote kwa mtu ambaye ndani ya dakika moja anaweza kuwa adui yako.....? Wewe sio mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…