Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Umenichekesha sana asubuhi hii jamani daah
Usicheke 😅 hawa watoto wa farao wako na masapraiz kedekede. Siungi mkono kumpekua kila siku ila siku moja moja unapitisha macho kuyasafisha ikibidi
 
Habari kwenu!

Ni kwamba Kama katika maisha ya mwanaume ukiona kakuchukua na kakuweka ndani Kama mke Basi tulia na ujue kajiridhisha kuwa wewe ni mwanamke Bora na sahihi kwake na familia yake.

Hii tabia ya kufanywa mke unaacha majukumu yako ya uku unajipa kazi ya u FBI kuanza kumchunguza utafikiri anauza madawa ya kulevya kuna siku utapigwa na kitu na hauta jua ufanye nini.

Fanya hivyo endapo unamtafutia sababu ya kuachana ila kama unatafuta sababu ya kujenga ndoa yako jiweke mbali na vitu ambavyo hajataka uvione ikiwemo simu.

Nakuambia siku utakayo kuta meseji au picha kwenye simu ya mumeo itakayo kuumiza kaa ukijua hauta pona kamwe ndio utakua mwanzo wa maumivu yako na kuharibikiwa kwako na familia yako. Trust me hauta pona kamwe.

Simu ya mumeo achana nayo fanya yako hayo hayakuhusu yatakuumiza maisha yako na utaumia haswa na hauta jua ufanye nini?

Kuna wimbi kubwa la wanawake wamejikuta wanaishia kwenye umalaya kisa tu walisoma meseji na kuwa disappointed kwa walio yakuta na kuishia kuharibu familia zao.

NB: Kama mmeo anajari familia na wewe mwenyewe inatosha Sana wewe kuwa na furaha na kuimarisha familia yako.

Jifanye mbishi Ila trust me utaumia,utalia na hauta pona kamwe.
Mm kushika sm siku zote siwezi ila kufanya doria muhimu, na mm akishika sm yangu ruksa kabisa[emoji4]
 
Aah kweli tuheshimiane kwa kutokuchepuka
Yap, hiyo ndio ilikuwa maana yangu. Tatizo kubwa ndoa nyingi na Mahusiano mengi vinakosa sana heshima ndani yake. Watu wanakurupuka kuoa na kuolewa wakiwa kiuhalisia hawamo tayari na matokeo yake wakifika kwenye hizo ndoa ni vituko mwanzo mwisho.
 
Mimi nitaishika kuikagua hadi siku nitakayokufa kwa presha. He is my husband na tunashare Kila kitu including hiyo simu yake. Sijapata sababu ya msingi ya kutokushika simu yake

Kama mtu ni mzinzi; presha utaipata tu hata usipokagua simu yake; unapeleka mbele tu siku zako za kupatwa na presha. Siku utakayoamka umeambukizwa magonjwa aliyoyatoa huko nje, au unaletewa watoto aliozaa nje basi presha itakuchukua tu. Madhara ya uzinzi yapo palepale ni suala la muda tu. Bora hata niikague, unaweza ukazuia madhara mengine yasitokee

Tuache kuzisingizia simu, hazina ubaya wowote; ni sisi ndiyo tunazitumia simu vibaya kufanya ufirauni wetu.

Ntamlinda kwa maombi na kwa "mbwinu" nyingine zozote nazoweza including kufuatilia nyendo zake.
Of course you can do that
 
mwanamke alipewa hicho kipaji cha kuwa na wivu kwa mumewe pindi alipofuata kikamilifu ushauri wa kula tunda la mti wa kati
 
Wanaume huwa mnatuchukuliaje sijui sometimes.. kitu usichopenda kufanyiwa usimfanyie na mwenzio..
Maneno yote mnaongea ili tu kuhalalisha usaliti..

Nasikitika sana ufahari wa wanaume siku hizi unapimwa Kwa kiwango Cha uchepukaji na tabaka la wanaojitahidi kujifunza kuwa waaminifu wanadharaulika.

Tuna andaa kizazi cha hovyo sana.
 
Simu sio Community property ni mali ya individual..., mtu kuichukua na kuchunguza ni kukosa busara....

Hata kama wewe na mwenza wako mmekubalina na mna hii tabia ya ajabu basi jueni hamtendei haki third party aliyetuma hizo info / sms angetaka kutuma ili nyote msome au msikie angeforward kwa wote au kutoa tangazo gazetini....

In short watu wa hivyo they need to find a hobbie....
Hawezi kufanya hivyo kwakuwa ni illegal (mwizi, mdokozi, mdanganyifu) wa mali ya watu
 
He is the happiest man on earth. Even in our next lives; he'd still choose me. Linajitambua sana hili libaba langu; ndiyo maana nakaba kwa Kila mbwinu; he is a rare gem. Kwenye maisha usimfanyie mwenzi wako usichotaka kufanyiwa; wote tuna mioyo sawa, hakuna mwenye moyo unaosikia maumivu kidogo kuliko wa mwingine.
Ngoja nikufunze jambo moja ambalo huwa hamzingatii wanawake..
Kumzuia mke kushika sim sio kwasababu ya umalaya tu kuna mambo mengi ambayo yanawachanganya sana kwasababu mda mwingi mnatumia hisia zaidi kuliko akili unaweza kutana na jambo ambalo halihusiani na uzinzi ukaliwaza tofauti kabisa nakumbuka nishawah kua na mwanamke kabla ya uyu mke wangu wa sasa alimtukana bimkubwa kwakukosa subira kwasababu bi mkubwa alinitafuta kwa namba ngeni

Ipo ivi usijiaminishe sana kua mumeo kua anajielewa huyo kakuzid akili na tactics za kivita yani hata me mke wangu anajisifia kwa ilo kua najielewa lakini kiukweli nature inanitafuna [emoji16] yani michepuko ipo na inaelewa terms zote na niniuwezo wakuacha simu hata siku mbili kwa mke wangu usisikie lolote kwa kifupi hakuna mwanaume anaeweza kuridhika na mwanamke mmoja duniani hapa hata kama hana nguvu za kiume..

Nyie mpo chini yetu acheni tuwale kwa wingi kwasababu tumeumbiwa nyie kwa wingi[emoji16] na mwanaume ndo aliyesujudiwa na viumbe wote uko mbinguni kipindi icho mwanamke hayupo kwenye ramani na aligoma kumsujudia mwanaume ndo uyo shetani kwaiyo sisi tunahaki yakufanya lolote kwenye hii dunia tushaambiwa tuje kutawala

Achana na sim ya mumeo utaharibu familia [emoji1666]
 
Back
Top Bottom