Kwenu wanawake, njia pekee ya kugundua mwanaume anakupenda ni pale akili yake inapofanya maamuzi baada ya kupiga mshindo (post nut clarity)

Kwenu wanawake, njia pekee ya kugundua mwanaume anakupenda ni pale akili yake inapofanya maamuzi baada ya kupiga mshindo (post nut clarity)

Daaah hii Siri nimeitunza Kwa mda mrefu mwamba kaja kuimwaga bila hata muamala,Hii ni halali kweli ndugu zanguuu??
 
Nyegzz mbaya sana.ukiwa na hamu afu umechukua dem unajisemea kbs huyu nalala nae hadi moningi.ukishapizz tuu utajikaza ili ugonge la pili baada ya hapo utaita boda ht saa 10ucku ije kumpeleka kwao
 
Kwa hiyo we jamaa umeamua kuwatobolea Siri Hawa viumbe, tatizo lako Ni Nini Sasa?
 
Back
Top Bottom