Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

To be honest, siwezi date na mtu hata ambaye tunalingana umri,, napenda my man awe amezidi walau kuanzia miaka 5 hivi hadi 10..tofauti na hapo better niendlee kua single [emoji18][emoji18]
Hii ni haki yako.

Lakini pia, nafikiri ni moja ya sababu wanawake wanatawaliwa na wanaume.

Wanawake wengi wanapenda wanaume wakubwa zaidi yao, warefu zaidi yao, wenye nguvu zaidi yao, wenye kipato zaidi yao..

Wanataka mtu wa kuwalinda.

Kwa saikolojia hii, wataendelwa kuwa chini ya wanaume.
 
hata kama ni mdogo anaweza akawa anajitambua, ana tabia za kiutu uzima

hapo vipi....
Hapana kwakweli...yani mimi swali la kwanza kukuuliza ni umri kabla ya yote 😃😃..kuna kipindi niliwahi kua na mtu alikua smart sana yani ila sikumuulizaga umri siku nimekuja kujua kanizidi mwaka mmoja nilijiskia vibaya sana,, thanks Lord hata hatukudumu maana...🙈🙈
 
Back
Top Bottom