Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

This is 2023 bwana mdogo, that's the least of things you should be worried about. And well, a piece of advice if you can take it, don't be doing things na perception ya kwamba jamii itanichukuliaje, dunia ishatoka kwenye primitive thinking za namna hio, kila mtu anafanya kile kinachompa furaha bila kuleta bugudhi kwa wengine.
 
Hii ni haki yako.

Lakini pia, nafikiri ni moja ya sababu wanawake wanatawaliwa na wanaume.

Wanawake wengi wanapenda wanaume wakubwa zaidi yao, warefu zaidi yao, wenye nguvu zaidi yao, wenye kipato zaidi yao..

Wanataka mtu wa kuwalinda.

Kwa saikolojia hii, wataendelwa kuwa chini ya wanaume.
Bora niendlee kua chini yenu tu kwakweli...maana napenda mwanaume awe amenizidi kila kitu,, hapo ndo hua nafeel nipo kwenye mahusiano 😊🤗
 
Back
Top Bottom