Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Bora niendlee kua chini yenu tu kwakweli...maana napenda mwanaume awe amenizidi kila kitu,, hapo ndo hua nafeel nipo kwenye mahusiano 😊🤗
Asante sana kwa kujielewa unataka nini na kusimamia upande wako kwa uthabiti usiopindika.

Sina tatizo na wewe kabisa.

Tatizo ni kwa wale wanaotaka kuwa sawa au zaidi ya wanaume, halafu hapo hapo wanataka wanaume wawalipie bill zao zote.

Contradiction.
 
Hahahah aliekwambia madogo wote wanalelewa nani. Mtu anakuja kwako akiwa well established. Ana kampuni zake ana run kama CEO. Mkwanje mrefu Dubai kama towntrips tu. 🤣

Acheni usanii!!! Hakuna mwanamke anayekataa mtu mwenye uhakika wa maokoto hata awe janki.
Sizungumzii kipato.
Akili zao bado za kitoto sijawahi kuvutiwa nao.
 
Back
Top Bottom