Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kisaikolojia wanapata shida kama tuu kuwa na mwanaume waliyemzidi urefu..

Kiufupi mwanamke anajiskia vizuri akiwa chini ya mwanaume Kwa Kila kitu.
Kuna manzi nilikuwa nadate naye alinizidi umri lakini siku zote alikuwa yuko submissive kwangu yaani hilo liko naturally tu mkuu wameumbwa hivyo wanawake
 
Back
Top Bottom