Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Mwingine unakuta labda kakuzidi urefu harafu anaanza kukuuliza kwamba kumbe Mimi nakuzidi urefu unamwmuangalia anavyobabaika inaishia kumwambia ndio harafu Hana Cha kufanya 😂😂
Niliwahi kutoka na manzi mmoja tall hivi ila nilimzidi urefu kidogo basi akawa ananiambia siku ya harusi yetu itabidi asivae mchuchumio eti atanizidi au tutakuwa sawa urefu akidai hatutapendeza nilikuwa nammaindi sana.

Yeye anacheka anaona kama utani

Ila mwanangu fanya yote uwezayo mwanamke asikuzidi urefu aisee dharau sana 🤣🤣
 
🤣🤣
 
Yani ni hivi mwanaume anatakiwa kunizidi parefu kwa kila kitu hadi dhambi, shem wako ananipiga gap la 15 kwahiyo kwa mujibu wa mada yako binafsi sitaki hata tulio rika moja
 
mie nilijuaga mwili wa kiume ni TALL, DARK, and HANDSOME.

Kumbe hadi kuna POWERFUL HANDS jamaaaniiiiii mweeeh [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

My hands are so powerful, na vipi ukiwa MFUPII JEEEE,
Powerful hands ni mojawapo ya mwili wa kiume, kila mtu ana preferences zake ila akiwekwa mwanaume mwenye powerful hands na mwanaume soft,wanawake more likely watachagua mwanaume mwenye powerful hands...ni security tu hamna lingine

U tall tuna interpret unaweza kuintimidate wanaoingilia himaya yako, aggressive/dominant sio kama tunavyowachukulia watu wafupi kama weak, na sisi ni security tunahitaji na si kingine,

Pia tunaangaliaga genes tunapochagua wachumba 😁 ,tallness,u handsome ni dalili ya good genes...
 
Back
Top Bottom