Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kuna manzi nilikuwa nadate naye alinizidi umri lakini siku zote alikuwa yuko submissive kwangu yaani hilo liko naturally tu mkuu wameumbwa hivyo wanawake
Mwingine unakuta labda kakuzidi urefu harafu anaanza kukuuliza kwamba kumbe Mimi nakuzidi urefu unamwmuangalia anavyobabaika inaishia kumwambia ndio harafu Hana Cha kufanya 😂😂

Wanawake ni wajinga so ninkucheza tuu na akili Yao , kiukweli Mimi Huwa wananifurahishaga nawaonaga kama tukatuni Fulani 🤣🤣
 
Maisha yangu yote, toka naanza kujitambua mpaka sasa, nimekua nikivutiwa sana na wanawake walionizidi umri. Sijui ni kwanini au ni kivipi nimekua na hii tabia...
Wanawake pekee ambao wanaweza kibali ku date na mwanaume aliyemzidi umri ni wale ambao wapo Kwa Ajili ya kula starehe hasa wamama na wengi wao wanakuwa wanajiweza na Wana watu wao ila wa kutolewa thubutu hawapo.
 
Back
Top Bottom