Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

hebu ntumie picha ya komwe nilione[emoji16]
Kula chuma iko
Screenshot_20230620-180619.jpg
 
Niliwahi kutoka na manzi mmoja tall hivi ila nilimzidi urefu kidogo basi akawa ananiambia siku ya harusi yetu itabidi asivae mchuchumio eti atanizidi au tutakuwa sawa urefu akidai hatutapendeza nilikuwa nammaindi sana.

Yeye anacheka anaona kama utani

Ila mwanangu fanya yote uwezayo mwanamke asikuzidi urefu aisee dharau sana 🤣🤣
Huu ndio utoto sasa.
 
Duuuh! Kwa hiyo kama mtu sio handsome maana yake sio sign ya good genes.
Ngumu mkuu,lakini ndivyo tunavyo interpret ukumbuke tunazaa watoto watakaosambaza DNA/uzao wetu mpaka kizazi kinachofuata, na kinachofuata hilo ndio lengo kuu la procreation,mtu akiwa mbaya maanake atasambaza genes mbaya kwa watoto,na watoto wakizaliwa kama sio wazuri maanake watashindwa kupata mates,na wakishindwa kupata mates maana yake DNA zetu hazitakua passed on, mimi siwezi kuelezea vizuri lakini ni hivyo...lol
 
Back
Top Bottom