mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
- Thread starter
- #261
akikuzidi miaka chini ya 10 sio shangaziDogo utakua umepata kashangazi [emoji2][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akikuzidi miaka chini ya 10 sio shangaziDogo utakua umepata kashangazi [emoji2][emoji2]
Mm nimesema kashangazi sio shangazi [emoji2][emoji2][emoji2]akikuzidi miaka chini ya 10 sio shangazi
hana chura halafu😋Mm nimesema kashangazi sio shangazi [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kipenda rohohana chura halafu[emoji39]
Kikubwa ni maturity kwenye nyanya nyingi za maisha.Naomba kujua ni raha ipi hiyo?
Ahsante.Kikubwa ni maturity kwenye nyanya nyingi za maisha.
Ukweli ni kwamba umri alio nao unamfanya awe na uzoefu katika mahusiano na maisha kwa ujumla na wengi ni waelewa mkiwa mnayajenga
Wanajua kuyajenga mahusiano hata kunapotokea hali ya kutoelewana they are good at controlling relationship
Wengi waelewa halafu wako vizuri kwenye life plan
Hawana drama kama hizi za mabinti ambao bado hawajawa mature kwenye mahusiano
Wengi sio mzigo kwa mwanamume hasa kwenye kulipa bil
Wako mature enough hata kitandani anakupea wote mfurahie
Mambo ni mengi hayo baadhi tu
umemaliza mzeeKikubwa ni maturity kwenye nyanya nyingi za maisha.
Ukweli ni kwamba umri alio nao unamfanya awe na uzoefu katika mahusiano na maisha kwa ujumla na wengi ni waelewa mkiwa mnayajenga
Wanajua kuyajenga mahusiano hata kunapotokea hali ya kutoelewana they are good at controlling relationship
Wengi waelewa halafu wako vizuri kwenye life plan
Hawana drama kama hizi za mabinti ambao bado hawajawa mature kwenye mahusiano
Wengi sio mzigo kwa mwanamume hasa kwenye kulipa bil
Wako mature enough hata kitandani anakupea wote mfurahie
Mambo ni mengi hayo baadhi tu
Hata kumkuta mwanamke mrembo kwa jamaa ugly sio la kushangaza ili mradi kibunda kipoWote tunaangalia good genes, tunachagua kwa kigezo cha uzuri, ila mimi kimtazamo experience/upbringing nazo zinashape choices za mtu,hivyo kumpata mwanaume handsome akiwa na mwanamke mbaya sio jambo la kushangaza...
Sahihi.Hata kumkuta mwanamke mrembo kwa jamaa ugly sio la kushangaza ili mradi kibunda kipo
Unataka uachiwe mirath yako mapema au sio?To be honest, siwezi date na mtu hata ambaye tunalingana umri, napenda my man awe amezidi walau kuanzia miaka 5 hivi hadi 10..tofauti na hapo better niendelee kuwa single 😌😌
Amna bhana😃😃🙈Unataka uachiwe mirath yako mapema au sio?
Plus helaMwanamke asikuzidi akili tu🤣
💯🤝Sioni shida mm kuoa au kuishi na dada aliyenizidi umri. Kinachomatter ni akili ya muhusika. Kujitambua, Heshima, masikilizano, nidhamu na bidii ya kutafuta maisha ndo vitu muhimu.
Na hata wakijua hayawahusuCha muhimu ni kumuelewa mwenzio Mambo ya umri hayana maana sababu mnaweza kusimama mbele za watu na isionekane tofauti ya umri wenu. Zaidi ni nyinyi wenyewe ndo mnajua.
NakaziaNa hata wakijua hayawahusu