Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Ngumu mkuu,lakini ndivyo tunavyo interpret ukumbuke tunazaa watoto watakaosambaza DNA/uzao wetu mpaka kizazi kinachofuata, na kinachofuata hilo ndio lengo kuu la procreation,mtu akiwa mbaya maanake atasambaza genes mbaya kwa watoto,na watoto wakizaliwa kama sio wazuri maanake watashindwa kupata mates,na wakishindwa kupata mates maana yake DNA zetu hazitakua passed on, mimi siwezi kuelezea vizuri lakini ni hivyo...lol
Sawa ila kumpata handsome na mwanamke naye awe analipa pia maana anashobokewa na warembo wengi
 
Sawa ila kumpata handsome na mwanamke naye awe analipa pia maana anashobokewa na warembo wengi
Wote tunaangalia good genes, tunachagua kwa kigezo cha uzuri, ila mimi kimtazamo experiences/upbringing nazo zinashape choices za mtu,hivyo kumpata mwanaume handsome akiwa na mwanamke mbaya sio jambo la kushangaza...
 
Back
Top Bottom