Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Yani namaanisha ntakua namuona tu kama mdogo wangu...halafu ataniona simuheshimu😂😂Mambo gani tena hayo? 😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani namaanisha ntakua namuona tu kama mdogo wangu...halafu ataniona simuheshimu😂😂Mambo gani tena hayo? 😊
Haya sawa naona hapa public hutaki unataka nije privateUje nikutajie pekeyako..hapa hapana kwakweli 😂😂🙈
Asante sana kwa kujielewa unataka nini na kusimamia upande wako kwa uthabiti usiopindika.Bora niendlee kua chini yenu tu kwakweli...maana napenda mwanaume awe amenizidi kila kitu,, hapo ndo hua nafeel nipo kwenye mahusiano 😊🤗
Shindwaaa pepo🤣🤣🤣🤣Ni swala la muda tu. Umewazidi umri vijana wengi tu ila hajatokea ambaye anakuvutia. Rest assured atakugonga tu na hamna kitu utafanya. 🤣
We tulia uone🤣Shindwaaa pepo🤣🤣🤣🤣
😃😃🙌Haya sawa naona hapa public hutaki unataka nije private
Sitaki niache 😃🤣🤣🤣🤣We tulia uone🤣
Utaliwa tu 🤓🤓🤓 maana hamna namna ingineSitaki niache 😃🤣🤣🤣🤣
Sizungumzii kipato.Hahahah aliekwambia madogo wote wanalelewa nani. Mtu anakuja kwako akiwa well established. Ana kampuni zake ana run kama CEO. Mkwanje mrefu Dubai kama towntrips tu. 🤣
Acheni usanii!!! Hakuna mwanamke anayekataa mtu mwenye uhakika wa maokoto hata awe janki.
hapana kwakweli...kuliwa hivyo labda niwe nakaribia menopause nimekwambia 😃😃🤒🤒Utaliwa tu 🤓🤓🤓 maana hamna namna ingine
Hahahah mtu well established ana akili za kitoto tena🤣Sizungumzii kipato.
Akili zao bado za kitoto sijawahi kuvutiwa nao.
Unakunywa kinywaji gani kwani. 😀hapana kwakweli...kuliwa hivyo labda niwe nakaribia menopause nimekwambia 😃😃🤒🤒
mimi sitaki kua dominated sasa😂kuna wanawake dominant wanapenda wanaume wa kuwa control, ndio wanaoendaga na vijana wadogo.
dah😂cocomelon
🤣🤣🤣🤣 apple punch 😂😂😂😂🙈Unakunywa kinywaji gani kwani. 😀
Hahahah nikajua savannah unipe lipa number waiter akuongezee🤣🤣🤣🤣 apple punch 😂😂😂😂🙈
Sasa hela huna,mwili wa kiume unao?? au nao huna? 😁mimi sitaki kua dominated sasa😂
sina 6 pack😂mwili wa kiume unao??