Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Wewe mwenyewe ukishafika miaka 48 na huyo mumeo ana 61 hapo ndipo utawamisi vijana wanaoenda mbio ndefu ambao wengi wao ni chini ya 35
Sio Kweli kabisa!kwanza nitake radhi,nikifika 48,kwanza nitakuwa nimeingia menopause ule moto na mshawawasha wa 30's utakuwa umepoa,naangalia mabinti zangu na vijana wangu najiandaa kupokea wajukuu zangu
 
This is 2023 bwana mdogo, that's the least of things you should be worried about. And well, a piece of advice if you can take it, don't be doing things na perception ya kwamba jamii itanichukuliaje, dunia ishatoka kwenye primitive thinking za namna hio, kila mtu anafanya kile kinachompa furaha bila kuleta bugudhi kwa wengine.
Tatizo watu wanafanya maauzi kwa kuangalia jamii itawachukuliaje, do what is best for you.
 
Mimi huwa napenda kudate na mwanaume aliyenizidi umri for real😂. Nahisi kuwa comfortable maana bado naamini kuwa a man is the head of a family. Nikizingua nikumbushwe kwa essay ndefu sana😊❤️🤣
Ikiwezekana vibao😂 nyie hizi mambo kumbe zipo eeeh , hawa wakwetu mkumbushe sasa utasikia basi kama unajua sana fanya wewe , ukikasirika utasikia nipige kama we mwanaume kweli 😂
 
Hamna sio kawaida,mshale wa sekunde utakuwa ulikuwa unaenda ant-clockwise....
Una haki ya kuongea hivyo kwakuwa haumjui huyo mama na kwa namna gani tulijikuta tumedumbukia kwenye mahusiano nae laiti ningemtaja jina member wa mtwara mjini waliopo humu ambao harakati zao zipo pale soko kuu wangemjua na mimi pia wangenijua na wangekuambia kuwa yule mama ni mtu wa aina gani ila sio vizuri nifanye hivyo
 
Back
Top Bottom